Nimetembea na GF wa rafiki yangu

Sasa ndugu hicho kikao cha usuluhishi, unamsuluhisha demu na mshikaji, wakati umesha mega shemeji?

Ni ngumu kuwa judge, but its unlawful.
 
Nilitamani kukuponda ila nimegundua wengi(wanaume)wanamega shemeji zao na wengi(wanawake)wanamegwa na shemeji zao. What to do?
 
Mshikaji upo determined ile mbaya, nadhan umekuwa ukimpigia hesabu shem waka kwa muda mrefu, bila shaka wewe ndio chanzo cha ugomvi wa awali, na utasababisha ugomvi mwingine!
 
Big up kaka kazi nzuri im so impressed by u...u relly know how to Take care of a Lady!!!

nyie wengine mnalaumu bure mmesahau jamaa katoa cost na muda wake kumsaidia + First Aid...he dissolve some CREDITS!!

Wanawake hawapigwi siku hizi ukipiga tu wenzio wana Take care mnasuluhishwa mambo safi kumbe Mtu kala tunda take care dont beat your Wife!!


cheers!!
 
Ni Zaidi ya Umalaya ni USALITI, Kama mimi ndiyo huyo msela wako ( Naamini yuko hapa JF na
kwa namna ulivyoelezea mazingira kashakufahamu) adhabu yako ni kukugonga na Gari tu

teh teh teh!!!
 
Big up kaka kazi nzuri im so impressed by u...u relly know how to Take care of a Lady!!!

nyie wengine mnalaumu bure mmesahau jamaa katoa cost na muda wake kumsaidia + First Aid...he dissolve some CREDITS!!

Wanawake hawapigwi siku hizi ukipiga tu wenzio wana Take care mnasuluhishwa mambo safi kumbe Mtu kala tunda take care dont beat your Wife!!


cheers!!

nimekupa ka thanks hapo juu. Watu wanalaumu laumu tu, mijicho yao kama gololi
 
m naona pouwa kwann umtwange dem wako demu anpgwa na mahaba unamkoleza na dude sana we unapga ngum endelea kumega kisela mwana
 
inawezekana huyu binti ndio maana aligombana na mwenza wake kwa sababu ya hizo tabia zake chafu
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu

We hufai hata kwa dawa, nikikuona na dem wangu nakulima mguu wa kuku.
 
HONGERA MKUBWA, Realy wewe ni KIDUME CHA MBEGU!

ila kweli! Dem mwenyewe si ndo kaomba ampige msela kiss? Afu hisia zikakam mazeee, jamaa kazama katoa kazama katoa, alipomaliza tu kachojoa? Wajina kaonyesha uanaume,
Dahhhh! Sharobalo anadai bus lilikuwa ndefu, sijui lilikuwa hivi!




Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom