Nimetembea na GF wa rafiki yangu

hapo juu JULZ,KIMEY,D5 na EDSON jaribuni ku-consentreti na kazi.....!
YOU HAVE BEEN STRONGLY WARNED
 
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu

Niliwahi kusikia kuwa, watu wanaongozana na wanawake/wasichana kila mara na pia kujisifu kuhusu ngono zembe zembe huwa ni mashoga ili asjulikane au kuhisiwa basi anakuja na vijimambo au thread kama hizi......sijui ni kweli? samahani kama nimesema ukweli
 
Inaonesha jinsi usivyo rafiki mzuri kwa mwenzio....watu wa dizain yako ni kuzamisha tu shaba kichwani mpotee kwenye uso wa Dunia!
 
umevujisha mwenyewe, kitakachokukuta usimlaumu mtu... mimi ninafahamu kabisa hiyo kesi na mshikaji ninmfaham...anza kusali huyo shetani wako akupokee vizuri maana maisha yako sasa yako hatarini.....
This is a stern warning aisee

panties on fire:target:
 
sasa hii sredi ina umuhimu gani? aaargh hawa watu waliopewa kompyuta za mikopo wana tabu kweli wakiwa online.
 
heeee, suluhisha ila mwishoni mwambie mamaa akipata tena shida 'asisite kukuarifu'....
 
Bwana ehh jamaa haogopi kuanika usaliti wake hadharani.
umeona buji



thread imekaa ki mambo ya pwani haha haha hha ahahahaha
niliwahi kusikia kuwa, watu wanaongozana na wanawake/wasichana kila mara na pia kujisifu kuhusu ngono zembe zembe huwa ni mashoga ili asjulikane au kuhisiwa basi anakuja na vijimambo au thread kama hizi......sijui ni kweli? Samahani kama nimesema ukweli
 
spirit of guilt is with yuo. Just confess before your friend and before your Almight God to be healed from that sin and be free from such spirit.
 
hi story nahisi ya kutunga...
kama conscious haikusumbui kwa mambo kama haya...ujue siku utataka kulala na mwanao!
shame on you!
 
Ni watu wangapi wanaweza kusema urafiki wao ni urafiki wa kweli na sio wa masilahi ? labda ni 1% wengi wao ni kama huyu jamaa na inawezekana na yeye kisha fanyiwa mambo kama haya na 'rafiki' yake. Dunia imekwisha!!
 
hata kama ungekua umefanya hicho ulichofanya wewe bwa mdogo,so what should we do by reading that illusionist story of urs??kids kama hawa wasio na moral values ndio wanaoshusha hadhi ya Jamii Forums alafu sote huwa twaonekana wapumbavu.is it really somethin someone to b proud of????
 
Watu mnamlaumu jamaa bure tu, mlitaka jamaa atangazwe si rijali nyie vipi? Cover the face, fu*k the Base ahahaahaaaa
 
Back
Top Bottom