Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,469
- 17,590
Hata mimi nilitaka kuuliza hiloRestarant ndio biashara gani?
Hata mimi nilitaka kuuliza hiloRestarant ndio biashara gani?
Au basi........Duuh...sijui niache kazi..?...ila hela ya mwezi tamu..ngoja kidogo
Umeanza vizuri ukamaliza vibaya na vunjabeiNi baadhi yao,,, sio wote
Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki.
Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa kwenda kwenye bishara ambako kuna hatari za hasara kuna maana gani ??
Tofauti na hayo makabila, kuna wachaga ambao wengi wameelimika na kuna hawa wakinga ambao kiwango cha walioelimika ni kawaida lakini unakuta hao walioelimika na kufanikiwa kupata ajira badala ya kutegemea mishahara kama wengine wao wanaacha kabisa ajira na kujiingiza miguu yote kwenye biashara ambazo zina hatari (risk) ya hasara..
Nimeona mkinga ni branch manager wa bank flani ana gari nzuri tu na ni kijana kaacha ajira kafungua duka lake.
Nimeona mchaga huyo alikuwa TRA, narudia jamani TRA, mshahara safi tu lakini akaacha kazi kwenda kwenye biashara ya restarants
Nimeona mkinga ni daktari, mshahara milioni na kitu kaacha kazi kaenda huko maporini anafuga mifugo ya nyama na maziwa.
Nimeona mchaga marehemu Mengi akiwa mhasibu wa kwanza kutambulika hapa nchini akiacha ajira nono.
Nimeona mkinga huyu kijana vunja bei kaelimika lakini aliacha ajira yake yenye mshahara wa uhakika, majuzi happ naskia alipata hasara kwenye ule mkataba wa bilioni 2 wa jezi za simba
porojo.....hizo story ndio kichaka cha wakinga wengi....huzitumia ili kuwahadaa baadhi ya watu wanaohoji chanzo cha biashara zao.
kama unadhani kupanda miti ndio kunawatajirisha wakinga, na wewe kijijini kwenu anza kumpandia miti mwanao wa miaka 5 ili akiwa mtu mzima aanzenayo kama mtaji wa biashara.