Nimeshindwa kula papuchi sababu ya harufu, wengine mnawezaje?

Nimeshindwa kula papuchi sababu ya harufu, wengine mnawezaje?

kwa risechi ndogo niliyofanya wadada wengi wananuka midomo, wengine ni pisi wala hutegemei

njoo 'zero distance' naye alaf aongee ndiyo utaisoma freshi

[emoji23][emoji23][emoji23]Sio ivo banna ila hawa viumbe ni kweli na wengi ni zile pisi kali ila nilikua kama wewe nawachukia ila badae nikagundua ni sababu ya kula vitu vitam sana na hua ni waumwaji wa meno na kupata matundu ila huwa hawaendi dentol doctor appointment mpaka yawaume kati unaeza enda tuu kusafisha hata bila kuumwa.

Wanakula sana cake,chocolate,biskut,jojo,pipi alafu njoo kwenye nyama juicy end etcz end etc pia hawajui dawa za mswaki nzuri za kutumia na namna ya kutumia mfano ulimi hua hawajui namna ya kuusafisha kabla ya kulala.

Binafsi nilimpambania baby mama wangu na saivi yupo poa mbona tena anameno mazuri uyo akicheka, ni elimu tuu sio unamkimbia[emoji23][emoji28]
 
Mimi nafikiri magonjwa ya zinaa kama kaswende, gono, chlamydia, UTI, na kadhalika vyanzo vyake itakuwa ni wanawake sababu ya maumbile ya nyeti zao. Ingawa siyo Wanawake wote wenye tamaduni duni za usafi, lakini inamfanya mwanaume anayejielewa kuwa anxious na mwanamke ambaye hamjui. Hawa wa kuokota pub wakati umelewa na wao wamelewa siyo vizuri kabisa.
 
Hakika ni hatari sana wanatakiwa wajuww usafi kuna mmoja nilimuita geto aisee alivua chumba kikaharibika kutokana na ugwadu nikala kimoko kumtoa nikazuga nimepigiwa cm kazini ndio ikawa gia akasepa sijawahi mtafuta tena

Getto lako ni self? Je usafiri unafika hadi mlangoni? Naje ulimtumia ya usafiri?

Wanawake wengine wanajitaftia ela kwa nguvu zao na kwashida sana, unakuta mdada anashinda juani humpimsaada! Yani unamtoa uko aliko then unamwita getto unakuta getto lingine liko vichocholon hata usafiri haufiki anatembea wee kuja kwako hujui mafuta anayojipaka, hujui anayoyapitia muda huo mpaka anakuja kwako then unasema ananuka chumba kizima!!! Asee sijapenda kabisa hawa viumbe ndo maana wanamua kudanga tuu.

Yani kabla yakusema ivo hakikisha unamtumza kwanza na unajua in and out ya mtu wako, ikiwa ni tabia yake tuu binafsi ndo uje kumdhihaki umu ndani na mwisho watu mnadate na wanadamu kila mtu ananuka ni vile wengine tunauwezo wa kujitunza but wengine wanajua kujitunza ila hali ndo mbaya kiasi kwamba anashidwa kufikia level yakua classic

Jitahidi kujua kwanza sababu ya kunuka kwake sababu umemtongoza mwenyewe maanake ushampenda na kama humpendi kwanini utake kumtomba tuu mwache watao mpenda watamsaidia.
 
Wanawake muwe na taratibu ya kuangalia maji maji ukeni na kuyanusa itasaidia kujiweka safi. Kuna comment hapo juu mtu kasema kunywa maji kweli maji ni zaidi ya dawa. Watu tumeenda age na hatujawahi kunuka papuchi,yess kuna wakati hali ya uke huchange kulingana na hali ya mwili,mfno after period sio muda mzuri wa ku do hali ya uke inakua haijakaa sawa lazima kuna odor tu so kuwa mvumilivu hata one day huku ukinywa maji mengi kuflush some stuffs zilizobaki.
Nimependa point yako ntamshauri mke wangu mtarajiwa afate haya maelezo.
 
Ulaji nao unachangia sana. Mtu anakaa wiki nzima hajala tunda wala mboga za majani au vyakula vya mboga mboga, ni machipsi, soda, beer, chips, mishkaki, biscuit, na vitu vingine ambavyo havimsaidii kiusafi.

Hayo mambo yanasolviwa kwa kunywa maji ya nyumbani ya kuchemshwa jikoni yakapoa sio haya ya chupa yanakuwa na chemical composition ambayo si nzuri kwa afya ya usafi wa maumbile ya mwanamke,anatakiwa kunywa kwa wingi sio chini ya lita 3 ya maji per day.

Matunda pia ni muhimu sana especially vitamin C types kama limao, chungwa, ndimu. Mboga mboga za majini kama mchicha, spinach, broccoli , bamia, nyanya chungu, salad.

Akae mbali na soda, apunguze kiasi awe anakunywa at least 3 kwa wiki na muda akimaliza kunywa asindikize na maji kwa wingi sana kuflush out soda katika mwili.

Kuhusu kunuka kinywa, ajitahidi kusafisha vizuri kinywa chake tatizo litaisha. Kuswaki mara mbili kwa siku inasaidia sana kuondoa tatizo. Kunywa maji yaliyokamuliwa limao moja na kuwekwa vipande vya tango husaidia sana.

Akipiga mswaki ajitahidi sana kusafisha ulimi wote kww kuubrush kwa umakini bila kutumia nguvu nyingi sana. Asafishe ulimi wake kwa mswaki hadi ule weupe weupe upungue na ulimi uwe na rangi yake original ya pinkish red. Hapo bacteria wataka kabisa na harufu mbaya itaondoka na atapata harufu safi ya mint ambayo huwa ni comfortable kupumuliwa nayo usoni.
Safi..umeamua kutoa darasa kabisa. Haya sasa wale wanawake wanuka ngenya na mdomo chukueni notice hapa!
 
Maji ya chupa ni maji makini sana acha kuongea maneno usiyoyajua
 
Labda kama sijakuelewa vizuri. Lakini swali langu Linakuja kwako, je, huyo dada alikua siku hiyo kuna gemu??
Tatizo lipo kwetu, unakuta mmepanga kuonana kwa ajili ya story au la mmekutana bahati mbaya tu kitaa mkaamua mtulie sehemu kwa ajili ya story then wewe unaanza kumbembeleza upewe mzigo.
Unabembeleza weee mpaka dem anakubali hata kama alikua hayupo tayari (hakujiandaa kwa shughuli hiyo). Mwishowe unaanza kulalamika nimemkuta ananuka.
Naamini mkipanga siku ya kucha kata lazma aje amejiandaa na yupo Safi.
[emoji23] Kuna mdada aliuza humu, mwanamke unaweza kuchakatana na mwanaume anaenuka mdomo, wa kasahau na wao wananuka papuchi
 
Mademu manene yenye shape ni mazuri kuyatazama ila mengi kitandani mavivu ni 0 na yananuka balaa,kwa sababu miili yao imejibana sana

Mzee em mnunulie gari awe anatembelea then mfungulie office ya kukaa jenga nyumba weka choo self na kama ubonge umezidi nenda kamlipie gym hakikisha anashidwa yeye kwanza ila mazingira yote yakufanya hygence yake iwe juu yapo ndo uje useme ananuka we ukioma wakina KAJALA SIJUI ZARI unafikili hawana majacho ya mkud** sema wao wanapata vitu sahihi na kwa matumizi sahihi hata uyo anayenuka ukamkimbia akipata Elimu ya usafi/Kazi/Dawa au mwanaume kweli mbona we mbona utamtamani tena.

Binafsi mi ukimtukana mwanamke kwa issue zinazotokana na umalaya, kiburi, kucheat sijui vikoba and etc naona sawa maaana ni vitu vya kujitakia ila nachojua wengi mjini uku wanawake wanakua ivo sababu ya matunzo mabovu na mazingira anayotoka. Najua kuna wanawake hawajui kujisafisha vizuri hasa hawa 20s ila kama umempenda na umemtongoza mwemyewe kwanini usimsaidie!!! Nahao sio wengi ukilinganisha na kundi linalopenda kua na usafi ila mazingira yanamhold back mfano assum wadada wafanya kazi viwandani,Juani, na kazi zakutembea mda mrefu anaogea sabuni ya kufulia dreesing meza ya kilia chakula, kioo chakujirembea ni kipande unangalizia jichomoja kilotion cha elfu2 ukitoka juani kinayeyuka analowa kama katoka mazoezi, Deodorant ya elfu 5 ndo anashidwa na haoni umuhimu wakununua deodorant wakati wadogo zake kijijini wamemwomba ela ya daftali alafu unataka afanane na mdada mwenye kipato &Elimu unakuta anauwezo wakukodi pikipiki(acha tax) kila anapoenda, kwenye kila wiki anajipiga service ya nywere mpaka kucha na dressing table yake iko vizuri.

JAMANI TUKUMBUKE HAWA TUNAOWAITA MADEM&WANANUKA NDO MAMA ZETU UKO VIJIJINI NA DADA ZETU APA MJINI NA NDO WENYE IYO MIILI NA MANYUMBANI WAZEE WETU SISI WENGINE WAMEWATUNZA MAMA ZETU NA WAKAISHI NAO WAKAPENDEZA SIJAWAHI KUSIKIA WAZEE WETU NA WENYE WAKE ZAO WAKISEMA MAMBO KAMA HAYA KWENYE KAHAWA AU MBELE ZA WATU TENA KWAKUJISIFIA BINAFSI INANIUMA SIJUI KWANINI.
 
Back
Top Bottom