Nimeshangaa kukuta Benki ni kweupe

Nimeshangaa kukuta Benki ni kweupe

Hivyooo!! nipe darasa, inakuweje hivyo, shule imeagiza ada zote zilipiwe bank fulani na ikatoa Account na jina la bank halafu wanasema mtoto aje na Original Pay in Slip shuleni kudhibitisha malipo. Nambie hiyo automation yako unayosema ningefanyaje ili nipate hiyo Pay in Slip inayotakiwa na mwalimu Mkuu?
Ukiona hivyo ujue hao wala hawaishi Tz kwenye mambo yetu ya mwaka 47.
 
Hivyooo!! nipe darasa, inakuweje hivyo, shule imeagiza ada zote zilipiwe bank fulani na ikatoa Account na jina la bank halafu wanasema mtoto aje na Original Pay in Slip shuleni kudhibitisha malipo. Nambie hiyo automation yako unayosema ningefanyaje ili nipate hiyo Pay in Slip inayotakiwa na mwalimu Mkuu?
Kwa maana hiyo watoto hawaendi shule?
 
Wagawe mahospitalini, shule za bweni na vyuoni kuliko kumwaga. Eakipota mitaani au sokoni na kugawa bure watu watachukua.
Wagawe mahospitalini, shule za bweni na vyuoni kuliko kumwaga. Eakipota mitaani au sokoni na kugawa bure watu watachukua.
we kweli ni k......za, nyanya zilimwagwa baada ya kuharika wakati mkulima akisubiria wanunuzi ambao hawakutokea sasa ulitaka apeleke mashuleni nyanya zilizooza? kumbuka huyu mtu anapigania japo arudishe japo robo hasara alizoingia wakati wa kulima hizo nyanya lakini imeshindikana, sijui kama atalima nyanya tena kama ana akili timamu.
 
Kwa kweli watu hatupendi mabadiliko, kwanza haya ya kusema fedha za mission town ndizo zilikuwa zinaendesha maisha yetu sio kweli, zilikuwa fedha za madawa ya ya kulevya, magendo, wizi na ubadhirifu zilizokuwa zimesambaa. Kwa kweli kama tunaitakia nchi yetu mema hayo sio maisha tunayotaka kuwafundisha watoto wetu, wajukuu au vitukuu, ni maisha fake na sijuwi tungeishia wapi, kuna bwana mmoja hapa kajitahidi mno kutuelezea sisi, kwamba kufanya miamala sio lazima uende benki, bado tunabisha, unaenda benki kwa swala muhimu mno, labda ku update details zako au kama kweli muamala uliotakiwa kuufanya electronically umeshindikana, ila bado tunabisha ili kupata nafas ya kwenda kushinda benki, pia foleni zilizokuwapo huko nyuma kwenye services zetu tusishangae zikipunguwa, haya ndio maisha tunayotakiwa kuishi, foleni kidogo au kutokuwepo kabisa!
[HASHTAG]#hapakazi[/HASHTAG] tu! mbona hatukubali?!
Simbanking, Mpesa, Tpesa, Emoney hata Airtel money ndio future...
Tunaenda shangaa benki au sehemu zingine za huduma kwa ajili ya nini?! Kwanini twapenda poteza muda wetu bila sababu?! Tubadilike..
Pia kama ulizoea kuishi maisha yaliyo juu ya kipato chako badilika, wala sio shida, ni kwenda na hali, wengine wala! Twaona kawaida kama sio maisha safi tu..
Haihitaji mchumi kufahamu kama watu wengi hawana pesa za kutosha hawawezi kununua bidhaa zilizoko sokoni. Hata kama ukijenga viwanda vingi ni nani atanunua bidhaa za viwanda hivyo kama uwezo wa kununua wa wananchi wako uko chini sana? viwanda vya Kenya vinaendelea kwa kuwa 70% ya bidhaa zao zinanunuliwa na Wakenya wenyewe. mshahara wa mbunge au daktari wa kenya ni mara 3 ya hawa wa Tanzania. Hivyo wana uwezo wa kununua cement ya kujengea nyumba ambayo vibarua watapata kazi ya kujenga na kupaka rangi na kupata pesa ya kwenda kununua milungi kwa mkulima. mshahara wa mwalimu wetu hapa unatosha kununua shati na kiatu cha mtumba sio cha dukani. Kazi sio ndogo kama tunavyofikiria sisi.
 
we kweli ni k......za, nyanya zilimwagwa baada ya kuharika wakati mkulima akisubiria wanunuzi ambao hawakutokea sasa ulitaka apeleke mashuleni nyanya zilizooza? kumbuka huyu mtu anapigania japo arudishe japo robo hasara alizoingia wakati wa kulima hizo nyanya lakini imeshindikana, sijui kama atalima nyanya tena kama ana akili timamu.
Je kama angefikiria kuzipeleka kabla hazijaoza? Maana anajua trend, kipindi gani wanunuzi wanakuja, na asipowaona anajua zitamdodea.
 
Mmmm Mungu tusaidie.Hali ni mbaya kwa watu mtaani na shangaa hao wanao beza.Yetu macho tu
Sema hali mbaya kwako, wengine leo ni kama jana. Juzi kuna mtu anashangaa wakati tunalia hali ngumu, lkn watu wanabadilisha usafiri, wanaongeza idadi wanakula maisha
 
Mm mke wangu kaenda benk moja hapa tabata kuwaambia anataka kufungua akaunt wakamwambis alete barua ya mtendaji tu na picha walimpa na atm card siku ileile momaa
 
Kupungua Foleni Bank sio sasa,ipo Tangu zamani
-ATM-Ilipoanza Huduma za ATM na watu wengi kujua namna ya kutumia
-Mobile Money-Hii ndio ikaja kumaliza kabisaaa foleni kwenye Banks
-Advanced Technology ya Bank to Mobile phone,hii imefunga ukurasa kwa kuondoa foleni
Mie nina miezi 8 sijaenda Bank.

Na hata hivyo,Foleni inategemea na Bank ipi,kuna Bank kama NMB,CRDB,hizi zipo sawa tu.
Ila hizi Bank nyingine tangu zamani hazina foleni hiyo

Kuna mdau alisema kwamba hii hali imeathiri watu kisaikolojia bila hata kujua kwamba kuna mambo yalikuwa yapo hivyo tangu zamani
 
I strongly support ur comments. Ni kweli kabisa kwenye service delivery yenye kuzingatia customer centric ktk karne hii ya science and technology, kuna kitu kinaitwa many channels ktk kuhudumia customers. Kwa sababu anachotaka customer baada ya kuwa na pesa ndani ya benki yake ni mwenye benki kurahisisha customers wake jinsi ya kufanya malipo in a simple and convenient way to make various payments. Thus why sasa hivi kuna ATMS tena Visa, Mastercard etc, kuna mobile and Internet banking, kuna POS kwenye supermarkets na bars or restaurants yote hii ni kurahisisha kufanya malipo. Kwa njia hii customers hawana tena sababu ya kupoteza muda kwenda kwenye banking halls kudeposit au withdrawal cash. Bila kusahau benki zimeanzisha wakala au Merchants ambapo unaweza kufanya shughuli za kibenki kama kuweka na kutoa pesa ktk akaunti yako ya benki. In summary hulazimiki kwenda benki kwa huduma za kawaida isipokuwa kwa huduma kama kuomba mikopo na labda kutuma pesa nje ya nchi kama hujajiunga na Internet banking.
 
Vibaka na wezi wameongezeka sana mitaan tena wanaiba mchana kweupe hawangoji giza liingie, zile deals za chapchap za kitaan zilikuwa zinasaidia. Hata wale wadada waliokuwa wanaenda china mara kwa mara hakuna hiyo
Magufuli amebana sana aisee
 
" NATAKA WALIOISHI KAMA MALAIKA WAISHI KAMA MASHETANI " Na wala siyo walioishi kama shetani waishi kama malaika , Hapa kazi tu !

Weee... fikiria vizuri hii statement... usikariri tu.. sio rahisi hivyo...!!

Walioishi kama Malaika ukiwabanaaaaaa.. labda wataishi kama matajiri wa kawaida tu, ila wale waliokuwa wanaishi kama mashetani, hata ufanyaj
e hawawezi kamwe kuishi kama malaika, kamwe, tena ukiwabana zaidi na zaidi wale waliokuwa wanaishi kama malaika, WALE WANAOISHI MAISHA YA KAMA MASHETANI WATAKUWA MIZOGA, MFU, MAREHEMU, wengi WATAKUWA na hali mbaya sana kuliko maisha ya kishetani ya sasa...!!

So acha kukariri na kumeza tu kila kitu...

Think, think, is not illegal to think...!! Thinking is limitless...!! Is free...!!

Solution: Mikakati ya kuwasaidia maskini, fukara kabisa inawezekana kabisa bila kupambana na wenye utajiri wao wa halali, wako wengi ni matajiri sana halali, so serikali inaweza saidia mamilioni ya watu maskini ktk huduma muhimu sana za jamii, ili kunyenyua hali za maisha yao...!!
 
Kijana hukunielewa .
 
Internet banking, mawakala wamesaidia kupunguza foleni mabenki na kwenye atm machines. ..
 
Utafiti gani huu? umekwenda benki moja!! tena kwa siku moja!! halafu unaanzia kujiuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom