kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,255
- 16,185
- Thread starter
- #21
Saa nne asubuhi, maana saa 8 nilikuwa nina kikao hivyo nilitarajia kutumia na muda wa mapunziko pale bank, lakini bosi alishangaa kuona punde nimesharudi akaniuliza we vipi nikamwambia tayari, nikamweleza kisa hiki naye akasema mengi yanayofanana na niliyomwambia.Ilikua muda gani huo. Maana mchana siku za ijumaa hua watu wanaenda kuswali.