AhaaaahaaaaNgoja noti zibadilishwe utaona foleni tu. Tunajua mnazificha hela uchagoni, zitoeni kabla noti mpya hazijaingia mujini

Unasemaje wewe? nitaje hizo benk kwa majina ili iweje, shida haiko kwenye benk shida iko kwa watumiaji wa huduma za benk hizo. Nilitaka kuomba mkopo kwenye benki ambayo mimi ni mteja wao kwa zaidi ya miaka 12 na nimekopa hapo mara 4 na kulipa deni langu bila shida, lakini safari hii nilipotaka kukopa tena wakanambia subiri kwanza sasa hivi tumesimamisha huduma ya mikopo kidogo mpaka hali itakapotengemaa. Nikashika mdomo na kutikisa kichwa changu kisha nikaondoka bila kuwauliza ni hali gani hiyo wanayosubiri itengemae. Actually niliwaona kama majipu tu wanaostahili kutumbuliwa.Stori yako haina mashiko ya uthibitisho wa hicho unachotaka tukiamini.
Ungeweza hata kuzitaja direct hizo benki,pamoja na hayo benki nyingi sasa zinafanya njia mbadala ya kuweka fedha,sio lazima ukakute misululu mirefu. Rudia kufanya utafiti.
We endelea kusubiriUtamuuzia nani hizo mboga zako? Nyanya zimejaa zinakosa mnunuaji.
sasa hapo huoni tatizo ni benk yenyewe. Mara foleni hakuna,mara mikopo hakuna. Kama mteja wao ilibidi uwahoji na upate majibu kamili ya kukupa amani. Kumbuka una amana zako hapo,tena mteja mkongwe. Tembelea na kwingine uone hali ipo vp. Pole lakini kwa kukosa mkopo. watakuwa wamekumbwa na credit crunch.Unasemaje wewe? nitaje hizo benk kwa majina ili iweje, shida haiko kwenye benk shida iko kwa watumiaji wa huduma za benk hizo. Nilitaka kuomba mkopo kwenye benki ambayo mimi ni mteja wao kwa zaidi ya miaka 12 na nimekopa hapo mara 4 na kulipa deni langu bila shida, lakini safari hii nilipotaka kukopa tena wakanambia subiri kwanza sasa hivi tumesimamisha huduma ya mikopo kidogo mpaka hali itakapotengemaa. Nikashika mdomo na kutikisa kichwa changu kisha nikaondoka bila kuwauliza ni hali gani hiyo wanayosubiri itengemae. Actually niliwaona kama majipu tu wanaostahili kutumbuliwa.
mwenye macho haambiwi tazamasasa hapo huoni tatizo ni benk yenyewe. Mara foleni hakuna,mara mikopo hakuna. Kama mteja wao ilibidi uwahoji na upate majibu kamili ya kukupa amani. Kumbuka una amana zako hapo,tena mteja mkongwe. Tembelea na kwingine uone hali ipo vp. Pole lakini kwa kukosa mkopo. watakuwa wamekumbwa na credit crunch.