Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
uke wenza kwangu hapana
bora niwe peke yangu
Hahah...unanipiga mzinga??Mjini hapa mama.
Hakuna cha peke yako.
Unasema kweli...??
c nimeuliza ili nijiandae??pesa co tatizoKumbe huna pesa?
Sasa itakuwaje?
Jamani ndo nini kumtishia mwenzako hivyo??bora uchukue kucha, macho na meno ila co kifanyioMkuu Katavi... Hivi bado unakipenda kifyanyio chako??? Unamfahamu Pou wewe??? Haya danganywa tu.......
We baba charminglady mbona humpi bintiyo uhuru?
c nimeuliza ili nijiandae??pesa co tatizo
Wakati alikumwaga
Mjini hapa mama.
Hakuna cha peke yako.
Basi kama pesa sio tatizo, mie natumia Tigo, nirushie.
Unataka shs ngapi?lete tigo yakoBasi kama pesa sio tatizo, mie natumia Tigo, nirushie.
yuko wa pekee yangu
tena i am alone
na naamini hivyo.
yalaaaaa!!!!!!!!! hukui tu madame
Unataka shs ngapi?lete tigo yako
Jamani ndo nini kumtishia mwenzako hivyo??bora uchukue kucha, macho na meno ila co kifanyio
Binamu Madame B taratibu maana utamfanya Mamndenyi apate presha bure wakati wewe ni binamu tu nyama ya hamu
Nsuri ruksa nenda kwa binamu Madame B ila Ben Saanane alikukamata ujue huna kucha na meno na kifanyio
Labda umuweke ndani ya chupa kabatini.
La sivyo....wapiiii