Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,932
Heshima yenu wakuu.
Ni muda mrefu sijatia maguu humu CC, nilikuwa nachungulia kupitia dirishani kinachoendelea. Jana nikaingia humu ili kuondoa stress, yaliyonikuta hapo mlangoni huenda hivi sasa ningekuwa nimeng'olewa meno, kucha na kutobolewa jicho. Kisa anajua Mamndenyi...............Sasa ili kuondoa utata naombeni muongozo wa humu ndani, nani ni nani, na kama kuna usajili upya wa kuingia humu fomu zinapatikana wapi....... Baba V, Arushaone, pedeshee Bishanga, Madame B, Erickb52, Mr Rocky na wana chit chat wote, msaada please....
 
Last edited by a moderator:
Ohoo...!!! jomba hapa ndani people zimewowana hadi imekuwa vizuri yaani, tembea taratibu utaanza kugundua nani ni nani... yaani kimsingi things are no longer the same... Tutenzi wikolo..!!
 
Ohoo...!!! jomba hapa ndani people zimewowana hadi imekuwa vizuri yaani, tembea taratibu utaanza kugundua nani ni nani... yaani kimsingi things are no longer the same... Tutenzi wikolo..!!
Hahahaah! Sante kalesa wikolo...! Na wewe upo na nani?
 
ahaa!ahaa! Naipenda Cc sio siri, niko hapa kwa kahawa! Hadi muuzaji kaniuliza#vipi kahawa ya leo nzuri mbona una smile,Nimemujibu Siri ya mtungi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom