Hii thread imechakachuliwa mno hata kuchangia nimeshinda let me nyamaza kabisa.........
cc: Mr Rocky, Mamdenyi, Passion Lady, Madam B, et al
Mhhh wewe una yako wewe
Hebu kuja pande hizi uniambie ulikuwa wapi muda wote sijakutia machoni mke wangu wa zamani na binamu yangu kwa mama mdogo wa kaka yake na mama Dena Amsi mzima wewe
copy kwa Mamndenyi
Last edited by a moderator: