Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Last edited by a moderator:

Aiseee shem nimeona huyu kijana Nsuri anatafuta matatizo..

Shem, hv una habari kuwa shem wako Kala anataka arivenji udiwani?
My huy Ben Saanane yuko Mtwara anaamulia mtiti wa huko.

Habari ya kutaka kurudia udiwani sijaipata.. Ila ninakuaminia shem ukienda kumpigia kampeni lazima apite..

Ila shem hicho kidumu chako Ben Saanane awe makini maana anatafutwa mtu wa kutolewa kucha na meno bila ya ganzi ili awe mfano kwa wamakonde huko..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Binamu Madame B kwa sasa wewe kula raha Ben Saanane anasuluhisha mambo ya gesi mtwara huko na kuna kampeni za udiwani kwa hiyo yuko busy Nsuri yuko single unaweza mfanya kidumu
Ila mbona Nsuri anafanana na Erickb52 macho juu maana naona mara Paloma mara Madame B mbona haeleweki

Binamu yangu Mr Rocky, tangu awali nilisema humu ndani hakuna "Husband Material" kuna "Wa Kuchunwa Material".
Kuanzia kaka Erickb52 mpaka nitonye.
Akina Bishanga ndo kabsaaaa... Hawafai hata kwa kulumangia.
Binamu, nampenda sana my Huz.
Nsuri katoka Mtwara leo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom