copy kwa zubedayo_mchuzi
Kwani uko maabara?
Ndio ipi hiyo?
Halafu binti yako charminglady nampendaje lol
Na yeye analindwa au hakuna ulinzi?
Mamndenyi achana na akina Bishanga na Erickb52 wachonganishi hao
Kwani ushawahi niona kwa mwingine
Ni wewe tuu hao wanataka kututenganisha wapate lao la kuongea ila ni mimi na wewe tuu hakuna mwingine
Dena Amsi alikuwa zamani hizo siku hizi yuko na Baba V bana anakula raha zake
Si eti Dena Amsi au nakusingizia