Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Katavi unataka ukatumukiw server au hujipendi kucha na meno yako hayo unataka yaondolewe bila ganzi
Mods wapi kukuweka server kwa muda au nawaita vijana wakafanye kazi ya kuondoa meno na hizo kucha
Achana na Mamndenyi na wala usijaribu kwa Dena Amsi pia
Nampenda sana Mamndenyi aise
Copy Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Heshima yenu wakuu.
Ni muda mrefu sijatia maguu humu CC, nilikuwa nachungulia kupitia dirishani kinachoendelea. Jana nikaingia humu ili kuondoa stress, yaliyonikuta hapo mlangoni huenda hivi sasa ningekuwa nimeng'olewa meno, kucha na kutobolewa jicho. Kisa anajua Mamndenyi...............Sasa ili kuondoa utata naombeni muongozo wa humu ndani, nani ni nani, na kama kuna usajili upya wa kuingia humu fomu zinapatikana wapi....... Baba V, Arushaone, pedeshee Bishanga, Madame B, Erickb52, Mr Rocky na wana chit chat wote, msaada please....

Madame B niko single. Waweza karibia Katavi.
Sina mume wa mchumba, karibu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani Katavi karibu sana, ulikuwa wapi bwana hadi ukapitwa na harusi yangu na Judgement?
 
Last edited by a moderator:
Kwanini mtu mmoja anakuwa na wake wengi hivi??wakati wengine hawana?hii ni dalili ya ulavi, tugawane bwana, mnakuwa kama watu wa mtwara??

Sasa Nsuri wakati tunatafuta ulikuwa wapi wewe. Jipange wako binamu zangu Paloma na Madame B wako single wanatafuta kwa hiyo wewe hebu watumie taarifa kabla pia Katavi hajawahi
Usiwaguse kabisa hao wa kwangu bana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom