Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Hazband wake Madame B ameenda kutoa singo ya hip pop kwa producer majani.. Kidumu chake Ben Saanane yupo yupo hata hajielewi kama limbwata limeeksipaya au laa..

Ina maana YNNAH hufahamu yote haya..?

Shem, hv una habari kuwa shem wako Kala anataka arivenji udiwani?
My huy Ben Saanane yuko Mtwara anaamulia mtiti wa huko.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom