Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,738
Hata wewe jamani???mbona ndo tumaini langu?Copy nimeipata binamu yangu,
ila mwambie Nsuri aandike wosia kbs.
Maana endapo atanimendea tu, Kwake hatabaki hata Panya wala mjusi.
Aiseee shem nimeona huyu kijana Nsuri anatafuta matatizo..
Habari ya kutaka kurudia udiwani sijaipata.. Ila ninakuaminia shem ukienda kumpigia kampeni lazima apite..
Ila shem hicho kidumu chako Ben Saanane awe makini maana anatafutwa mtu wa kutolewa kucha na meno bila ya ganzi ili awe mfano kwa wamakonde huko..
Relax mdogo wangu.
Kwa nini uteseke na dadayo nipo?
Relax mdogo wangu.
Kwa nini uteseke na dadayo nipo?
Binamu Madame B huyo aliyetoka mtwara si anafaa maana katoka kwenye machimbo ya gesi na uranium wewe muwahi zikiwa za moto
Ben Saanane mpaka akaokoteze za kampeni utakuwa ushmfaidi Nsuri balaa
Katavi kaa mbali kabisa na Mamndenyi kama hutaki ban au kucha na meno yako unayapenda
Tatizo humu watu wabinafsi sana kama watu wa mtwaraHumu Chit Chat kiboko, mpaka sasa sijaona aliye single wakujidai naye, wote wako booked.........!!
Mr Rocky mimi nimeshakaa mbali na Mamndenyi, wewe nipe kazi ya kukulindia mali yako.........nimefuzu mafunzo ya u-bodyguard, nikabidhi Mamndenyi nikulindie.Binamu Madame B huyo aliyetoka mtwara si anafaa maana katoka kwenye machimbo ya gesi na uranium wewe muwahi zikiwa za moto
Ben Saanane mpaka akaokoteze za kampeni utakuwa ushmfaidi Nsuri balaa
Katavi kaa mbali kabisa na Mamndenyi kama hutaki ban au kucha na meno yako unayapenda