Nimeponea tundu la sindano kupata ngoma

Nimeponea tundu la sindano kupata ngoma

Mkuu,hongera kwa kupima,ila sijajua space of time kati ya kupima baada ya kungonoka,and hiyo mara ya kwanza na ya pili,kama ni within one month,kapime tena baada ya mwezi,and baada ya miezi mitatu just to be sure
 
Hii inanikumbusha cku ambayo nilienda kuchek afya sehemu tofaut na home nikiwa man alone coz dem wangu alikuwa anataka sana tupime ngoma so nikawa namdanganya kila mara so nikaona ni vyema nikachek nikiwa peke yangu kwanza na matokeo yakawa _ve so baada ya hapo nikawa namfoce tukachek afya tukiwa wawili so baada ya kuchekiwa hakuna mwenye ngoma kat yetu
 
Bahati yako Jamaa alikua anatumia dawa vinginevyo ungeweza kufa kwa pressure na ukamwacha.
 
Niko huru kwani najua damu haina wadudu
[emoji123]
20180923_182543.jpg
 
Mkuu,hongera kwa kupima,ila sijajua space of time kati ya kupima baada ya kungonoka,and hiyo mara ya kwanza na ya pili,kama ni within one month,kapime tena baada ya mwezi,and baada ya miezi mitatu just to be sure
Mara ya kwanza ilikuwa mwez wa 11mwaka Jana na Mara ya pili mwaka huu mwez wa 9
 
watu wanapewa(ga) ngoma kwa maneno (unafiki) tu ili hali hawana ngoma.

Yaani kuna wakati wanaweza kukuzushia umewaka hadi ukaanza amini yawezekana umewaka kweli.

jamaa hakuwa na ngoma sema maneno ya mtaani tu
 
Uhakika niliupata kuwa jamaa kweli anayo ngoma na dawa anameza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom