Nimeponea tundu la sindano kupata ngoma

Nimeponea tundu la sindano kupata ngoma

Nimekusamehe
hapana, nijibu tu. huwezi kujisifu na kutamba hapa kwamba umewavulia chupi wanaume wengi namna hiyo (wakutosha). kwanini usingebaki na mmoja tu?
mwanamke hapaswi kuwa na sifa za hovyo namna hii. shwain
 
hapana, nijibu tu. huwezi kujisifu na kutamba hapa kwamba umewavulia chupi wanaume wengi namna hiyo (wakutosha). kwanini usingebaki na mmoja tu?
mwanamke hapaswi kuwa na sifa za hovyo namna hii. shwain
Ubarikiwe sana wew ambae sio shwain
 
Nimetembea na vidume wakutosha na kuna wengine niliambiwa wana ngoma, lakn nilipima na kukutwa damu safi. Hilo halikunishangaza sana kwani wale niliotembea nao sikuina kama wana dalili za kuwa na ngoma.

Ilipita miaka mingi nikabaki na kijana mmoja tu kama mpenzi wangu lakn baada ya kukuta SMS kwenye siku yake akichart na kidem kingine ikaamsha mashetani nikaanzisha mahusiano na mtu mwingine, yule kaka alikuwa mtanashart sana ingawa alikuwa na ngoma( sina hakika) ingawa alikuwa na dalili zote, nywele zake nyepesi sana, lakn pia anamakovu kama ya mipele iliyopona. Tulikuwa tunalewa pombe na kudaduana kwa wiki hata Mara mbili. Kuna mtu wake wa karibu alinifata na kunitahadhalisha kuwa nijitahidi kutumia kinga.

Niliwaza sana baada ya pombe kuisha nikaona acha nimwambie huyo mchepu wangu tupime ngoma. Nilipomwambia alikataa na kusema yy hawezi, mawazo yakawa mengi kichwan nikaona bora nikapime. Nilipima nikaambiwa negative, nikashukuru Mungu na kuamua kuachana nae.

Nakumbuka siku moja nilimtembelea Dada angu nikamweleza anamfahamu huyo mtu akanambia mbona huyo anangoma, nikamwambia lakn nilishapima, akaniuliza tena ulipima na Mara ya pili niiajibu ndiyo nimepima. Ukweli nilikuwa sijapima nilipata mawazo sana na kujutia usiku mzima usingizi hauji kabisa nawaza je nikipima Mara ya pili naweza kutwa nao labda je itakuwaje. Niliishi kwa hofu na mateso sana, nikafanya maamuzi yakupima Mara ya pili.

Nilienda mpaka lugalo kufika pale wananiambia Leo hatupimi siku yakupanga mafaili, yani nililia kama mtoto mdogo maana nilikuwa nataka kumpata mtu tu nimweleze yaliyo moyoni. Kuna mama mmoja alinionea huruma akaniita chumba cha pembeni tukakaa na kuzungumza, nilimweleza na akanipima.

Basi tukaendelea na mazungumzo lakn nilikuwa napata kijasho chembamba nawaza kama itakuwa nimeambukizwa nitaishi vipi.

Sikuamini aliponiambia damu yako safi. Nilifurah sanaaaaaaa na kwenda kanisan kutoa shukurani.
Mpaka sasa naishi maisha matakatifu na mm siyo mdunia tena( in muna's voice)
usirudie huo uzembe sawa binti mzuri
 
Tangu nipime ×3 nikahakikisha sijaambukizwa nimeacha kuchepuka nikishaoga nakunjia kwenye chupi mtambo wangu.Kuna demu mmoja nilikua nagonga nilihakikisha kabisa alikufa kwa ngoma ni mungu tu alininusuru.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom