Nimeponea tundu la sindano kupata ngoma

Nimeponea tundu la sindano kupata ngoma

Immunity ya mtu ndio ina determine mashambulizi ya virusi vya ukimwi! hilo naona hulielewi!
Wapo watu wenye miili imara sana ya kudhibiti magonjwa ila ndani wana mdudu, wengine wanaanza kushambuliwa baada ya miaka 3, 5 hadi 10.

Na kuna wengine hata mwezi haupiti lazima afya iyumbe.. mafua kwa sana, kukohoa na uchovu wa mwili ndani ya siki 30 tu!

Ok umesema umepiama haina tatizo ila ungemjua huyu mdudu alivyo ungenielewa kwa nini napendekeza DNA.
Mungu akubariki watu mmepitia changamoto kubwa kwelikweli but ni matokeo ya dhambi zetu.
Ukimwi umekaa mahaali pabaya sana na ndio panapopendwa Zaidi ulimwenguni.
Kugundulika na HIV sio mpk uanze kutoka na dalili. Hao wanaogundulika after 5 yrs ni wale ambao hawapimi wanasubiria dalili. Km ukijua vipimo vya haraka vya HIV HUTOMJIBU HIVYO. MTU akiwa na afya strong Lymphocytes ndo zinatoa mapema antibodies za HIV how mweny maambukiz mweny afya njema achelewe kugundulika. Acha kupotosha umma
 
Yawezekana hata hana lakin maneno ya watu tu. Nywele kuwa chache siyo tatizo, wenye huo ugonjwa sikuhizi wananawiri hutaamin..
 
Mimi sintosahau kuna demu wa kilokole nilimtokea nkampa 100% km yupo salama, nkabeba condom+vipimo vya HIV. Nimefka rum nkaona kupima nachelewa nkaanza kumgonga kwa ndomu. Badae nkajiuliza y nisimpime ili km yupo neg Nile nyama nyama, ile kumpima tu ngoma positive moyo ukafa ganzi, nkamwambia asepe nna dharula. Ndo siku ya mwsho kufanya uhuni maana Sir God aliniepusha na ngwengwe kibaya zaidi kila nikitoa kondom after show ilikuwa na damu. ASANTE MUNGU NIMESHUHUDIA MATENDO YAKO
Daaa watu mmepitia mengi asee hd mm najiona Cha mtoto
 
Mimi sintosahau kuna demu wa kilokole nilimtokea nkampa 100% km yupo salama, nkabeba condom+vipimo vya HIV. Nimefka rum nkaona kupima nachelewa nkaanza kumgonga kwa ndomu. Badae nkajiuliza y nisimpime ili km yupo neg Nile nyama nyama, ile kumpima tu ngoma positive moyo ukafa ganzi, nkamwambia asepe nna dharula. Ndo siku ya mwsho kufanya uhuni maana Sir God aliniepusha na ngwengwe kibaya zaidi kila nikitoa kondom after show ilikuwa na damu. ASANTE MUNGU NIMESHUHUDIA MATENDO YAKO
Hukujua kama alikua akijua?
 
Kugundulika na HIV sio mpk uanze kutoka na dalili. Hao wanaogundulika after 5 yrs ni wale ambao hawapimi wanasubiria dalili. Km ukijua vipimo vya haraka vya HIV HUTOMJIBU HIVYO. MTU akiwa na afya strong Lymphocytes ndo zinatoa mapema antibodies za HIV how mweny maambukiz mweny afya njema achelewe kugundulika. Acha kupotosha umma
Asante kwa kumwelewesha
 
Nachosema mimi ni kuonekana kwa hao virus inakua ngumu kwa sababu unakuta hivyo vijidudu havina nguvu.
 
Duuh kweli kuna umuhim wa kutoa elimu ya upimaji wa afya, ingekuwa hivyo basi wajawazito wangekuwa wakipimwa wanaambiwa wasubili miaka kumi ndo wapime tena kujua kama virus vipo ama havipo. Usichanganye mada mkuu, kinachozungumzwa ni kupima na kujua afya na si kuanza kuonekana kwa dalili za mtu mwenye maambukizi. Ingekuwa hivyo basi watoa huduma angaza wasingekuwa wanasema urudi after miezi mitatu
 
Na pombe pia uache maana inaonekana ukinywa huwa zinakushuka.
 
Duuh kweli kuna umuhim wa kutoa elimu ya upimaji wa afya, ingekuwa hivyo basi wajawazito wangekuwa wakipimwa wanaambiwa wasubili miaka kumi ndo wapime tena kujua kama virus vipo ama havipo. Usichanganye mada mkuu, kinachozungumzwa ni kupima na kujua afya na si kuanza kuonekana kwa dalili za mtu mwenye maambukizi. Ingekuwa hivyo basi watoa huduma angaza wasingekuwa wanasema urudi after miezi mitatu
Hlf Mimi mtumishi wa afya, kila siku napimisha watu. Nashangaa nabishana na wataalamu. Hongera lkn
 
Nimetembea na vidume wakutosha na kuna wengine niliambiwa wana ngoma, lakn nilipima na kukutwa damu safi. Hilo halikunishangaza sana kwani wale niliotembea nao sikuina kama wana dalili za kuwa na ngoma.

Ilipita miaka mingi nikabaki na kijana mmoja tu kama mpenzi wangu lakn baada ya kukuta SMS kwenye siku yake akichart na kidem kingine ikaamsha mashetani nikaanzisha mahusiano na mtu mwingine, yule kaka alikuwa mtanashart sana ingawa alikuwa na ngoma( sina hakika) ingawa alikuwa na dalili zote, nywele zake nyepesi sana, lakn pia anamakovu kama ya mipele iliyopona. Tulikuwa tunalewa pombe na kudaduana kwa wiki hata Mara mbili. Kuna mtu wake wa karibu alinifata na kunitahadhalisha kuwa nijitahidi kutumia kinga.

Niliwaza sana baada ya pombe kuisha nikaona acha nimwambie huyo mchepu wangu tupime ngoma. Nilipomwambia alikataa na kusema yy hawezi, mawazo yakawa mengi kichwan nikaona bora nikapime. Nilipima nikaambiwa negative, nikashukuru Mungu na kuamua kuachana nae.

Nakumbuka siku moja nilimtembelea Dada angu nikamweleza anamfahamu huyo mtu akanambia mbona huyo anangoma, nikamwambia lakn nilishapima, akaniuliza tena ulipima na Mara ya pili niiajibu ndiyo nimepima. Ukweli nilikuwa sijapima nilipata mawazo sana na kujutia usiku mzima usingizi hauji kabisa nawaza je nikipima Mara ya pili naweza kutwa nao labda je itakuwaje. Niliishi kwa hofu na mateso sana, nikafanya maamuzi yakupima Mara ya pili.

Nilienda mpaka lugalo kufika pale wananiambia Leo hatupimi siku yakupanga mafaili, yani nililia kama mtoto mdogo maana nilikuwa nataka kumpata mtu tu nimweleze yaliyo moyoni. Kuna mama mmoja alinionea huruma akaniita chumba cha pembeni tukakaa na kuzungumza, nilimweleza na akanipima.

Basi tukaendelea na mazungumzo lakn nilikuwa napata kijasho chembamba nawaza kama itakuwa nimeambukizwa nitaishi vipi.

Sikuamini aliponiambia damu yako safi. Nilifurah sanaaaaaaa na kwenda kanisan kutoa shukurani.
Mpaka sasa naishi maisha matakatifu na mm siyo mdunia tena( in muna's voice)
huwezi kusema umetembea na vidume wa kutosha kama hujatembea na mimi bado sasa kabla hujaacha ngono zembe tupige wote last touch kwanza ndo uwe kwenye right track..
 
Umechelewa hizo mambo za zaman
 
Sema by the End of the day unaeza jitunza ukafia kwenye MV Nyerere, hapo ndipo maisha yanakuwa hayana maana!
 
Mara ya kwanza nilipima mwaka Jana na Mara ya pili mwaka huu mwez wa Tisa, nitapima tena ingawa Nina uhakika kuwa Mungu alinyosha mkono wake na Niko salama
kwanini unatombwa na wanaume wengi namna hiyo? na tena bila kondomu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom