Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,696
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Bora ukose manyonyo uwe na chura..!
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Bora ukose manyonyo uwe na chura..!
Kwani huna bwana mpk leo??[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
[emoji106]MUNGU atusaidie sana kwa kweli, "Dhambi zote hufanyika nje ya mwili ila zinaa hufanyika ndani ya mwili" ... ikimbieni zinaa.
Furaha ya siku moja inakugharimu maisha yako yote.
HIV ni ugonjwa mbaya sana chamsingi tumuombe MUNGU atuepushe na vishawishi vya shetani.
Ebu kufaa tuoneBado, mpaka uniue ndiyo uridhike etii...[emoji41][emoji41]
Aisee uliponea chupu chupuu...Mimi sintosahau kuna demu wa kilokole nilimtokea nkampa 100% km yupo salama, nkabeba condom+vipimo vya HIV. Nimefka rum nkaona kupima nachelewa nkaanza kumgonga kwa ndomu. Badae nkajiuliza y nisimpime ili km yupo neg Nile nyama nyama, ile kumpima tu ngoma positive moyo ukafa ganzi, nkamwambia asepe nna dharula. Ndo siku ya mwsho kufanya uhuni maana Sir God aliniepusha na ngwengwe kibaya zaidi kila nikitoa kondom after show ilikuwa na damu. ASANTE MUNGU NIMESHUHUDIA MATENDO YAKO
Mara ya kwanza ilikuwa mwez wa 11mwaka Jana na Mara ya pili mwaka huu mwez wa 9
Naona watu hamsomi mkaelewa ni kwamba nililala nae tukaachana tangu mwaka Jana nikakaa kama miezi mitatu ndo nikapima Mara ya kwanza then nikakaa tena miezi kama Tisa ndo nikapima Mara ya pili sasa hapo kama kuna ukimwi lazima uonekaneIl ndugu uliwahi kupima mapema mno najua madhara yanatokana na immunity ya wili wa mtu. Kama una afya njema virusi vinaanza kukudhoofisha hata baada ya miaka 10.
Nakushauri tumia DNA hii iko vizuri, vipimo vingine vinanyesha majibu baada ya miezi mitatu na kuendelea ila DNA ni ishi ya muda mfupi tu.
Afya yako tuu ndugu ndo kila kitu kumbuka kuna watu wanakaa na hivo virusi wanakuja kugundua baada ya Zaidi ya miaka 10.Naona watu hamsomi mkaelewa ni kwamba nililala nae tukaachana tangu mwaka Jana nikakaa kama miezi mitatu ndo nikapima Mara ya kwanza then nikakaa tena miezi kama Tisa ndo nikapima Mara ya pili sasa hapo kama kuna ukimwi lazima uonekane
Afya yako tuu ndugu ndo kila kitu kumbuka kuna watu wanakaa na hivo virusi wanakuja kugundua baada ya Zaidi ya miaka 10.
Nilikushauri sababu za kutumia DNA kwa sababu vipimo vingine havionyeshi ndio maana wanapima baada ya miezi mitatu na kuendelea ila DNA ni haraka sana, nina maana kubwa sana napokuambia DNA japo ni gharama hutajutia.
Immunity ya mtu ndio ina determine mashambulizi ya virusi vya ukimwi! hilo naona hulielewi!Yani ufanye mapenzi na mtu anangoma then uachane nae mwaka mzima na nusu hivi then virus visionekane kama uliambukizwa, nimekaa zaidi ya miezi hiyo mitatu unayoisema ndo maana nimesema hilo
Immunity ya mtu ndio ina determine mashambulizi ya virusi vya ukimwi! hilo naona hulielewi!
Wapo watu wenye miili imara sana ya kudhibiti magonjwa ila ndani wana mdudu, wengine wanaanza kushambuliwa baada ya miaka 3, 5 hadi 10.
Na kuna wengine hata mwezi haupiti lazima afya iyumbe.. mafua kwa sana, kukohoa na uchovu wa mwili ndani ya siki 30 tu!
Ok umesema umepiama haina tatizo ila ungemjua huyu mdudu alivyo ungenielewa kwa nini napendekeza DNA.
Mungu akubariki watu mmepitia changamoto kubwa kwelikweli but ni matokeo ya dhambi zetu.
Ukimwi umekaa mahaali pabaya sana na ndio panapopendwa Zaidi ulimwenguni.
Demu wa kilokole afu anakubali kufanya zinaa. Huyo alikua msaniiMimi sintosahau kuna demu wa kilokole nilimtokea nkampa 100% km yupo salama, nkabeba condom+vipimo vya HIV. Nimefka rum nkaona kupima nachelewa nkaanza kumgonga kwa ndomu. Badae nkajiuliza y nisimpime ili km yupo neg Nile nyama nyama, ile kumpima tu ngoma positive moyo ukafa ganzi, nkamwambia asepe nna dharula. Ndo siku ya mwsho kufanya uhuni maana Sir God aliniepusha na ngwengwe kibaya zaidi kila nikitoa kondom after show ilikuwa na damu. ASANTE MUNGU NIMESHUHUDIA MATENDO YAKO
Wote ni Wa Mungu. Mbona sauti yako yaonesha una chura.Tusio na chura mnatuambiaje?
aweke pichaWote ni Wa Mungu. Mbona sauti yako yaonesha una chura.
Acha kumjaza pressure wewe. Miezi Tisa yote visionekane. DNA hutumika kwa watoto walio chini ya miezi 18 ili kugundua maambukizi esp exposed child. Kutumia DNA kwa MTU mzima ni uharibu wa pesa NA keshakwambia keshapima 9 months from the actAfya yako tuu ndugu ndo kila kitu kumbuka kuna watu wanakaa na hivo virusi wanakuja kugundua baada ya Zaidi ya miaka 10.
Nilikushauri sababu za kutumia DNA kwa sababu vipimo vingine havionyeshi ndio maana wanapima baada ya miezi mitatu na kuendelea ila DNA ni haraka sana, nina maana kubwa sana napokuambia DNA japo ni gharama hutajutia.