Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
DaaahPresha pia iko normal mtumishi
DaaahPresha pia iko normal mtumishi
Ukirudia speed yako ya mwanzo ajali yake hutaamini masikio yako.
HIV bado ni janga. huu ugonjwa mpaka uje kuonekana wakaida bado sana.
ukiambiwa unao unapungua kila tano.
jitahidi upime tena baada ya miezi 3.
Unaposema siyo mdunia una maanisha nini?
Then you are safe,though it was within a month,Mara ya kwanza ilikuwa mwez wa 11mwaka Jana na Mara ya pili mwaka huu mwez wa 9
Mshenzi kweli wafanyao mambo hayo hawana akili kabisa!Nimetembea na vidume wakutosha na kuna wengine niliambiwa wana ngoma, lakn nilipima na kukutwa damu safi. Hilo halikunishangaza sana kwani wale niliotembea nao sikuina kama wana dalili za kuwa na ngoma.
Ilipita miaka mingi nikabaki na kijana mmoja tu kama mpenzi wangu lakn baada ya kukuta SMS kwenye siku yake akichart na kidem kingine ikaamsha mashetani nikaanzisha mahusiano na mtu mwingine, yule kaka alikuwa mtanashart sana ingawa alikuwa na ngoma( sina hakika) ingawa alikuwa na dalili zote, nywele zake nyepesi sana, lakn pia anamakovu kama ya mipele iliyopona. Tulikuwa tunalewa pombe na kudaduana kwa wiki hata Mara mbili. Kuna mtu wake wa karibu alinifata na kunitahadhalisha kuwa nijitahidi kutumia kinga.
Niliwaza sana baada ya pombe kuisha nikaona acha nimwambie huyo mchepu wangu tupime ngoma. Nilipomwambia alikataa na kusema yy hawezi, mawazo yakawa mengi kichwan nikaona bora nikapime. Nilipima nikaambiwa negative, nikashukuru Mungu na kuamua kuachana nae.
Nakumbuka siku moja nilimtembelea Dada angu nikamweleza anamfahamu huyo mtu akanambia mbona huyo anangoma, nikamwambia lakn nilishapima, akaniuliza tena ulipima na Mara ya pili niiajibu ndiyo nimepima. Ukweli nilikuwa sijapima nilipata mawazo sana na kujutia usiku mzima usingizi hauji kabisa nawaza je nikipima Mara ya pili naweza kutwa nao labda je itakuwaje. Niliishi kwa hofu na mateso sana, nikafanya maamuzi yakupima Mara ya pili.
Nilienda mpaka lugalo kufika pale wananiambia Leo hatupimi siku yakupanga mafaili, yani nililia kama mtoto mdogo maana nilikuwa nataka kumpata mtu tu nimweleze yaliyo moyoni. Kuna mama mmoja alinionea huruma akaniita chumba cha pembeni tukakaa na kuzungumza, nilimweleza na akanipima.
Basi tukaendelea na mazungumzo lakn nilikuwa napata kijasho chembamba nawaza kama itakuwa nimeambukizwa nitaishi vipi.
Sikuamini aliponiambia damu yako safi. Nilifurah sanaaaaaaa na kwenda kanisan kutoa shukurani.
Mpaka sasa naishi maisha matakatifu na mm siyo mdunia tena( in muna's voice)
Bado, mpaka uniue ndiyo uridhike etii...[emoji41][emoji41]Hongera kwa kuacha ya dunia.
Mimi sintosahau kuna demu wa kilokole nilimtokea nkampa 100% km yupo salama, nkabeba condom+vipimo vya HIV. Nimefka rum nkaona kupima nachelewa nkaanza kumgonga kwa ndomu. Badae nkajiuliza y nisimpime ili km yupo neg Nile nyama nyama, ile kumpima tu ngoma positive moyo ukafa ganzi, nkamwambia asepe nna dharula. Ndo siku ya mwsho kufanya uhuni maana Sir God aliniepusha na ngwengwe kibaya zaidi kila nikitoa kondom after show ilikuwa na damu. ASANTE MUNGU NIMESHUHUDIA MATENDO YAKONimetembea na vidume wakutosha na kuna wengine niliambiwa wana ngoma, lakn nilipima na kukutwa damu safi. Hilo halikunishangaza sana kwani wale niliotembea nao sikuina kama wana dalili za kuwa na ngoma.
Ilipita miaka mingi nikabaki na kijana mmoja tu kama mpenzi wangu lakn baada ya kukuta SMS kwenye siku yake akichart na kidem kingine ikaamsha mashetani nikaanzisha mahusiano na mtu mwingine, yule kaka alikuwa mtanashart sana ingawa alikuwa na ngoma( sina hakika) ingawa alikuwa na dalili zote, nywele zake nyepesi sana, lakn pia anamakovu kama ya mipele iliyopona. Tulikuwa tunalewa pombe na kudaduana kwa wiki hata Mara mbili. Kuna mtu wake wa karibu alinifata na kunitahadhalisha kuwa nijitahidi kutumia kinga.
Niliwaza sana baada ya pombe kuisha nikaona acha nimwambie huyo mchepu wangu tupime ngoma. Nilipomwambia alikataa na kusema yy hawezi, mawazo yakawa mengi kichwan nikaona bora nikapime. Nilipima nikaambiwa negative, nikashukuru Mungu na kuamua kuachana nae.
Nakumbuka siku moja nilimtembelea Dada angu nikamweleza anamfahamu huyo mtu akanambia mbona huyo anangoma, nikamwambia lakn nilishapima, akaniuliza tena ulipima na Mara ya pili niiajibu ndiyo nimepima. Ukweli nilikuwa sijapima nilipata mawazo sana na kujutia usiku mzima usingizi hauji kabisa nawaza je nikipima Mara ya pili naweza kutwa nao labda je itakuwaje. Niliishi kwa hofu na mateso sana, nikafanya maamuzi yakupima Mara ya pili.
Nilienda mpaka lugalo kufika pale wananiambia Leo hatupimi siku yakupanga mafaili, yani nililia kama mtoto mdogo maana nilikuwa nataka kumpata mtu tu nimweleze yaliyo moyoni. Kuna mama mmoja alinionea huruma akaniita chumba cha pembeni tukakaa na kuzungumza, nilimweleza na akanipima.
Basi tukaendelea na mazungumzo lakn nilikuwa napata kijasho chembamba nawaza kama itakuwa nimeambukizwa nitaishi vipi.
Sikuamini aliponiambia damu yako safi. Nilifurah sanaaaaaaa na kwenda kanisan kutoa shukurani.
Mpaka sasa naishi maisha matakatifu na mm siyo mdunia tena( in muna's voice)
Kuna ugumu wake .... kuacha vyura.Bora umeamua kuachana na vyura
Tusio na chura mnatuambiaje?Kuna ugumu wake .... kuacha vyura.
Bora ukose manyonyo uwe na chura..!Tusio na chura mnatuambiaje?