Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,210
- 6,768
Najua baadhi yenu bado mpo ambao mnapenda muongozwe na mtu mwenye akili na uwezo mkubwa. Binafsi huwa najitahidi sana kuficha kuwa nina akili na uwezo wa kifedha. Sipendi kabisa watu wajue. But kuna wachache huwa wananishtukia.
Naishi tu maisha ya kawaida sana na najitahidi kujichanganya nikiwa TZ hata na watu wa kawaida kama mawaziri na viongozi kadhaa. Wasione kama najitenga.
But kweli siwezi taka kuwa Rais wa hii nchi. Siwezi sababu asilimia kubwa hawatanichagua. Wengi hawapendi kiongozi awe na akili. Sasa mimi ni mmoja ya watu 10 wenye akili sana Duniani. Mataifa kama Usa, Uk, China, Russia, Israel etc yananifuatilia sana. Ila hapa kwenu wala. Wapo busy na akina nani sijui wachekeshaji na washereheshaji.
Nikiwa Rais wataniua mapema.maana mimi siwezi pokea rushwa, siwezi ruhusu watu wafisadi so kwao ntakuwa sina faida.lakini wananchi hawataweza nichagua maana sitogawa tshirts wala khanga kwao. Pia nitazungumza mambo ya akili na wao hawatayapenda.
Hapana wana JF niacheni tu niitumilkie Dunia. Kama mtaona mnahitaji mchango wangu sehemu mtaniambia. Ila pia nitoe angalizo. Wale wadada ambao wameomba nizae nao nashukuru kwa maombi yao lakini i am sorry sitoweza. Na wanaume ambao wameomba angalau nilale na wake au dada zao angalau once. Hapana pia sitoweza.
Najua wengi mnatamani mpate mbegu zangu au angalau mjisikie mmegusana nami lakini please tusifike huko. Mimi najiheshimu siwezi nikawa tu nawalala wanawake siyo jambo jema.
Msaada wa kifedha nitawapa haina shida si mpaka kwanza mlale nami.mbona mwaka huu tu kuna watu nimewasafirisha kwenda China,Marekani, Mecca, Ulaya n.k? Wengi sana alikuwa ananipa secretary report wamefika watu 347,789 kwa mwaka huu na watu 20,000 nimewapa mikopo kila mtu usiopungua Mil 30. Ni mambo madogo tu. Kama una business proposal leta nikusaidie.
Nawashukuru kwa kuniona nafaa kuwa Rais wenu lakini hapana. Naomba nikatae huo wito na serikali nimeshaiambia kuwa mimi sihitaji jambo hilo so wasiwe na shaka kabisa.