Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe πŸ™‚

Aisee, safi sana!
Kuna weekend nilienda mbali kidogo, nje ya miji mikubwa, hata network haikuwa vizuri, ambako kiukweli nilitakiwa kutulia maana mazingira yakihitaji nifanye hivyo ila.......!
Ila nini ....... malizia story sasa πŸ˜„
 
Eti wee chokoraa 😹
Lamomy nakuomba sasa dada angu usinihusishe kwenye mambo nisiyojua

Sijui chochote
Narudia sijui chochote kuhusu hilo neno ililo ni quote na sitaki kujua

Sitaki maneno nitueni ndugu zangu πŸ™Œ
Sasa kama nikisema niseme nitasema mangapi?

Hakuna kitu siwezi na sipendi kama maneno na maugomvi

Kwa sababu ningetaka hivyo basi ningefanya zamani sana
Ningekua mdau ningefanya zamani sana ninayajua baadhi ya mambo ila sitaki kusema na sitasema

Kazi yangu humu jukwaani ni moja kufungua nyuzi zangu na kujifunza
Kusoma na kuburudika
Hayo mengine naombeni sana mnitoe sijui na sitaki kujua πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Jamani chaupole wangu, nani anakuonea tena? sijui kinachoendelea ila wakati mwingine ukimya nalo ni jibu, you have to pick your battles, si kila pambano ni la kuhangaika nalo, utachoka.
Bye love u 😍
Love you too kipenzi πŸ€—
 
Barikiwa binti mzuri, hunaga baya na sisi members wa humu tunalijua hilo
 
Ujue nimerudi nyuma kusoma comments nione ni nani ambaye comment yake iko off sijaona 😁😁 ila mwenyewe unayewajua watu wako umeona. Halafu si uliaga wewe lakini
Hakuna mtu mama usipoteze focus, we tutiririke bila kuelewa litalompata ndio huyohuyoπŸ˜†

Nikilala mafua yananibana jamani🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…