Nimepigwa na butwaa

Inabidi usiandike tena kuhusiana na mambo ya kina Dori mkuu, usikute huwa anakutana nayo, halafu wazazi hata ufiche ID hadi miandiko wanaijua hata kama hawajawahi Iona hapo kabla😅😅😅😅
 
Una maana ya mama yako mzazi au Mama Samia Rais na kiongozi wetu.

Kama ni Rais mbona hakuna shida, lazima yupo kupata mrejesho wa wananchi.

Kama ni mama yako, inategemea labda unamchukulia mshamba (ignorant) flani hivi. Lakini sasa ujue hayupo kama umdhaniavyo.
 
Poor Brain Hofu ni nini, kwanini ushike simu ya mtu uDelete app pila ruhusa yake, ukiulizwa kwanini utajibuje? Umeandika ni kama JF kuna biashara haramu.
Ni mama angu..
Kataka awekewe muvi kama nafasi hakuna lazima nifute zile app ambzo unakuta zipo zipo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…