Nimepigwa na butwaa

Au ndo yule aliyesema yy ni tajiri wa kwanxa duniani
 
Nilikuwa nimekaa kwenye siti moja na jemba mara nikafungua app yangu penda ya jf jembaa ikaikodolea wee mara ikacheka huku ikisema kumbe ni wewe. Tukacheka nikamuuliza wewe unatumia ID ipi hakutaja jemba ilidai haina acc ila iko humu daily tulicheka sana
 
Mkuu umeona eeeh sasa hapa unapata picha harisi humu ndani tuwe makini..

Kuna siku niliwahi vamiana na shangazi an shangz kabisa na akawa ananisema live live ila ndo hv ilishapita
 
Duh! Ulikuwa unakomenti, hadi ikaonekana au
 
Mkuu umeona eeeh sasa hapa unapata picha harisi humu ndani tuwe makini..

Kuna siku niliwahi vamiana na shangazi an shangz kabisa na akawa ananisema live live ila ndo hv ilishapita
Mimi wala sikujari maana sijawahi kwazana na mtu humu kiasi cha kujificha sana...sema akiwa kwenye circle yako halafu mfahamiane uhuru unakosekana kifuatacho ni kubali ID tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…