Nimepigwa na butwaa

Mwache atumie bhn
 

TUpo nae humu long time

Na ana michango bora kabisa hapa
 
Siku dada alivyogundua nina Id ya jf alinipiga biti la kwenda๐Ÿ˜ƒ
Umeonaaa eeeeh .
Sasa mimi bado ajagundua nimemuwahi yeye.

Ila humu kuna shangazi yangu ila ni vilw ajanijua tuu siku akijua na akasoma yale madude yangu walah nitakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ