G
Unaweza kuta Mama yako ndio cocastic ππWasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Mambo gani hayo babuππHahaha...........hapa nilipo nimevaa miwani ya macho, na yale mambo mengine ya Vijana ndiyo nimepoteza kabisa uwezo nayo π
Kilicho kushangaza ni app au zaidi ya app,mbona kwa yeyote anayejitambua haumkosi humu.Halafu ulishazozana naye humu bila wewe kujua sasa.Wasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Unataka kusema weye huyajui πMambo gani hayo babuππ
Kwamba unadhani jf ni kwaajili yenu peke yenu watoto wa 2000Mkuu hapa nataka niongee na mdogo angu nijue je ni yeye kaweka au ni nani..
Alafu nifatilie je huwa ana log in au anaangalia habari mbali mbali
Hapana ni ya wote ila sio kwa bi mkubwa mkuu...Kwamba unadhani jf ni kwaajili yenu peke yenu watoto wa 2000
Wala usinge angalia, daah saf sana umekuwa bint mzur sasaMimi sina tabia hiyo kabisa mkuuππ
Daah akisikia ivyoo, anaona amejiokotea kibabu chenye Elah π π πHahaha...........Kwa kweli ningekoma iwapo angejua ID yanguπ
Nilishangaa kuona anauliza kama nimewahi kuingia na kusoma nyuzi za Chit chat
Nikamwambia Mimi na Uzee huu, utanikuta jukwa la Kilimo na biashara tu π€
Wewe kuna muda hadi unajisahau mwenyewe ndio itakuwa nywila?Hahaha..............ila Kuna watu wanaweza kumiliki ID mbili, Mimi hii moja pekee huwa Kuna muda nasahau nywila (password) π
Labda kutokana na zee nilionao π
Hahaha.............Kwa kweli πWewe kuna muda hadi unajisahau mwenyewe ndio itakuwa nywila?
Hahaha.........kumbe pangu pakavu π πDaah akisikia ivyoo, anaona amejiokotea kibabu chenye Elah π π π
Ukikagua vizuri unaweza kuta hata app ya Tinder ipo, chukulia vitu rahisi tu.Wasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Kama hujafika 30 wewe ni mtotoHapana ni ya wote ila sio kwa bi mkubwa mkuu...
Mi sio mtoto mkuu πππ
DuuhKama hujafika 30 wewe ni mtoto
Mama Yako ndio NazjazBado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Ikawaje? We kweli mzee πHahaha.............Kwa kweli π
Kuna Siku nilitembea hadi Benki nikiwa na Kadi yangu ya kutolea pension
Si nikawa nimesahau nambari ya Siri π
Kweli tumezeeka sasa π
Kuna babu zako na bibi zako humu. Yaani huyo mama yako uliyeshangaa yeye kuwa hapa kuna waliomzidi umri na wapo hapaDuuh