Nimepigwa na butwaa

Mzee mjanja πŸ˜…πŸ˜…
 
Kutumia huu mtandao bila kujulikana kuna raha yake Mkuu

Imagine unairushia vocal PisiKali ambayo unadate nayo huko Mtaani lakini kupitia ID yake ya humu unajikuta unaiomba tena 😜

Vijana mna hatari nyie balaa πŸ˜…
Mzee nilijua mambi ya hovyo ushaacha
 
Mkuu mbona watu wazima tupo wengi tu.
I bet huyo bi mkubwa hanipati umri mimi.
Kwahiyo watu wazima wenzake tupo.
Wee jamaa hovyo sana..
Mi bi mdashi age go acha zako weww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…