Nimependa changudoa

ingekuwa mimi, ushauri ni huu tu! umesema vizuri sana mkuu, HONGERA SANA KWA KUWA NA HEKIMA NA BUSARA!!!
 


Mkaka hupotei wala nn ndugu yangu kama mmekubaliana na unajua nae anakupenda weka ndani ndugu ,yani sio machangudoa wote wanapenda kazi yao ila nikwakuwa wamekosa nafasi zingine tu,embuu kaaa nae na umjue vzuri na misimamo yake then tupia ndani yani utafuraia mwenyewe.
 
Its true kuna machangu wazuri ile mbaya hadi nashangaa kwanini ni machangu,
lakini mwanamke aolewi kwa uzuri bali kwa tabia.
Hivi ukimfumania baada ya kuoa? Hutamfanya nini?

My advice to all my brothers out there, don't go out and try them "hookers" they are very very addictive.
 

weka ndani, siyo wote wanapenda kuwa hivyo, wengine ni tamaa na maisha yamewatenda, mwambie ukweli akikubali mfungulie biashara maisha yaende
 
Kwani ili uwe mzoefu inatakiwa uweje. Maana kama ni wanawake nishakuwa nao mara nyingi na wengi sana
Kwa kauli yako hii na wewe si malaya tu. haupaswi kushangaa biashara aifanyayo huyo uliyempenda maana mpo kwenye boti moja. Na kwa umri wako wa miaka 26!!! unahitaji kubadili tabia yako ili uuone ujana wako wa kati.
 
Kichwa kinauma halafu anadai mm namtomba vizuri

Wewe mwenyewe umeshapima UKIMWI, kama jibu ni ndio na hauna, basi kapime tena kwingine, wataalaamu wanatwambia kuna mashine feki. Nakusikitikia sana kwa uasharati.
 
Amesema haipendi hyo kazi. Anasubili nitoe tamko
 
Wewe mwenyewe umeshapima UKIMWI, kama jibu ni ndio na hauna, basi kapime tena kwingine, wataalaamu wanatwambia kuna mashine feki. Nakusikitikia sana kwa uasharati.
Kwani uasherati ni kuchukua cd tu mbona ww una mpenzi ambaye hakuna ndoa
 
Kwa kauli yako hii na wewe si malaya tu. haupaswi kushangaa biashara aifanyayo huyo uliyempenda maana mpo kwenye boti moja. Na kwa umri wako wa miaka 26!!! unahitaji kubadili tabia yako ili uuone ujana wako wa kati.
Mwanaume hawi malaya i.e hakuna malaya mwanaume
 
weka ndani, siyo wote wanapenda kuwa hivyo, wengine ni tamaa na maisha yamewatenda, mwambie ukweli akikubali mfungulie biashara maisha yaende
Ndo niko ktk mchakato
 
Nikimfuma hapatatosha
 

Oa mdogo wangu hata wengine walioa baazi yao wameoa machangudoa ila hawajionyeshi wakajulikana wazi wazi . Suala la msingi ni yeye kutulia
 

Mhhhhhhhhhh, akili inazunguka, halafu shule humalizi tu?, bado miaka mingapi?
 
Hongera kaka kwani ata hao machangudoa hawakupenda kufanya iyo kazi kama kweli umempenda na umekaa nae mkaongea na anmekubali kubadilika na kuacha iyo tabia basi sioni ubaya wa we kumkwamua kwenye ilo janga na mwenyezimungu awabariki kwani ni wengi wanaofanya iyo biashara kwa shida na so kwa kupenda .

Mimi nishaona kaka mmoja pia alipenda mwanamke alikuwa changudoa na akambadilisha they have a very happy marrige now wit three kids.

Cha muhimu ni kwenda kupima mujue afya zenu na pia umchunguze na upande wa familia yake pia ili upate full picture otherwise its not a bad idea.
 
Nimelichukua mkuu
 
Lkn watu wakijua alikuwa changu c watambeza?

Changudoa wewe unamwita, huyo ni binadamu kama mwingine, kuna watu wanafanya ufusika zaidi ya huyo,
ninachojua ukimpenda mtu hutaona mapungufu yake hata siku moja.
onyesha unampenda na kumjali na kumthamini, mweke bize ktk shughuli za kiuchumi, then utaenjoy maisha.
mbona me namfahamu demu moja tulikuwa class moja ni wa ukweli, kwanza ni kichwa aliwahi kimbiza darasa zima semister moja lakini amekwenda club akiwa field akakutana na mshikaji mpaka leo wapo pamoja.
 
Huyu ni mrembo coz alishiriki mashindano ya umiss akashika namba za juu

kijana many a man inlove with the dimple have made the mistake of marrying the whole girl. dnt make that mistake. kama wapenda uzuri wake wee kuwa nae kimapenzi kwa hilo tuu na sio ndio umuoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…