Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun
habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi muheza tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun
he he he, remani imepata msomaji
kwanza mshale wa n-s umaugeuzia chini, hata new york hutapaona
on serious note: Ndege yangu imekatika stering power, unaweza kuwa nayo ya ziada?
He he he, remani imepata msomaji
Kwanza mshale wa N-S umaugeuzia chini, hata New York hutapaona
On serious Note: Ndege yangu imekatika stering power, unaweza kuwa nayo ya ziada?
hahahaaa...............helikopter ya cdm!!! lol!!!