fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,379
- 11,523
Kwaiyo hii ni dawa na sio chanjo?Ukitumia dawa ya malaria daktari huwa anakuambia usilale na neti tena.
Akili ndogo sana umetumia
Kwaiyo hii ni dawa na sio chanjo?Ukitumia dawa ya malaria daktari huwa anakuambia usilale na neti tena.
Akili ndogo sana umetumia
Si mbaya endapo muhusika ni yule anaezuia wewe usipate chanjo. Mkiwa vitani mmoja wenu akiwa anasababisha uoga kwenye kikosi chenu ni kheri mumuue ili msonge mbele kwa bashasha.Kutamani mtu mwingine augue si kitu kizuri.
Hata kama anapinga chanjo kijinga.
Muelimishe tu.
Mkuu bila shaka wewe ni wa Unguja ama Pemba!
Wewe sio muelewa naona ni mfuata mkumbo,unaambiwa hizo chanjo bado zipo kwenye majaribio sasa sijui huo uhakika katika hizo chanjo na matumaini makubwa uliyonayo umeyapata wapi hadi uone hizo chanjo ndio zitazuia hao watu wasife wakati hata hujui zitakuwa na madhara gani.Hizi roho zinazoangamia ni Mali ya babako mbona low IQ hivyo?
Kijana hakuna chanjo ya ugonjwa uliovumbuluwa na Mwanasiasa wa CCM unaoitwa Changamoto ya kupumua) ila chanjo zilizopo zimeshathibitishwa na WHO ni kwa akili Covid19Wewe sio muelewa naona ni mfuata mkumbo,unaambiwa hizo chanjo bado zipo kwenye majaribio sasa sijui huo uhakika katika hizo chanjo na matumaini makubwa uliyonayo umeyapata wapi hadi uone hizo chanjo ndio zitazuia hao watu wasife wakati hata hujui zitakuwa na madhara gani.
Chanjo za Tb, Measles, smallpox, Tetanus, kichaa cha Mbwa, antivermon, Yellow fever, Polio zinatoka wapi vile?Mkuu unaweza kuthibitisha kuwa watu wanaokufa hapa Tanzania wanakufa na hiyo covid 19 especially kutokea South Africa??
Kama una uthibitisho wowote nauomba tafadhali....
Wee acha tuuMie natamani sana hao wanaokataa chanjo waugue....huu ugonjwa mie naweza kesha siku nzima nikihadithia jinsi unavyotesa... unanyong'onyeza mno kwa muda mrefu nowonder wazee inawaonda mapema sana..ni mateso makali sana
Ni kweliChanjo sehemu nyingi duniani siyo lazima. Ila baada ya muda itakuja kukulazimu (kumbuka siyo lazima) kuchanjwa. Nahisi kwa watu wanaosafiri nje ya nchi/kwenda kwenye shughuli maalum wanaweza kukwama kama hawajachanjwa. Chukulia mfano wa Hija. Pia pengine kuna nchi zitataka uwe na cheti cha chanjo kabla hujaingia kwenye hizo nchi, kama ilivyo yellow fever. Siyo lazima, lakini unalazimika.
tofautisha dawa na chanjo we jamaa.Ukitumia dawa ya malaria daktari huwa anakuambia usilale na neti tena.
Akili ndogo sana umetumia
Mkuu hiyo ni ngoma umeikwaa...usichelewe kaanze kupata ARV's mapemaIle kitu ni balaa, maumivu yake utafikiri umegongwa na treni . Yani unasikia maumivu kutoka utosini mpaka unyayoni hakuna sehemu ya mwili ambayo haiumi. Ukitembea ukapiga hatua ni maumivu ukisema ukae ni maumivu kiufupi ni maumivu left and right
Chanjo za Tb, Measles, smallpox, Tetanus, kichaa cha Mbwa, antivermon, Yellow fever, Polio zinatoka wapi vile?
Sasa ukiwa na mawazo kama haya kuna mbweha wanajihisi wanaakili sana wanaanza kukutukana! Inawezekana hawajui hata placebo.zilifanyiwa uchunguzi na kupita phase zote za clinical trial..... na pia hizi- hazichezi na vinasaba hii ya COVID Ni experimental, inawezekana wao- wenyewe wanajiweka kwenye control group na kichoma placebo while waafrica mnapewa experimental ...
Hakuna anayekataa chanjo ila issue hii ni experimental ... inacheza na vinasaba , meanwhile haijapita phase zote 4 za trial ...
cha kufanya wao- wachome sisi tutasubiri tuone effect kwa watoto mtakao wazaa .. kama watakuwa sawa tutachoma na sisi.. but meawhile a BIG NO THANK YOU we will practice Clean hands & social distancing
Kinachonishangaza wao wamepata vaccine ila hawajiamini, bado wanavaa barakoa na face masksKwani lazima kila mtu achanjwe?! Hata chanjo ikiletwa si lazima kila mtu achanjwe. Ukijisikia kuchanjwa sawa,asietaka sawa.
Dawa au chanjo isio ya lazima siitaki mwilini mwangu.
Kila siku watu wanakufa ,unaona ni wimbi la watu weng kufa sababu ni maarufu ,hiv kila anaekufa kila mkoa tukipost kama hao watu mashuhur mnaodai wamekufa na corona kutakalika ,si itaonekana ni vifo vya kutisha nchini ??Anahoji kwanini serikali haitaki chanjo huku watu wanapoteza maisha.
Ulivyo na Ego mbaya huoni tunavyopoteza maprof, padres, doctors, lawyers etc kwa mijitu mibinafsi kama nyie.
Black is misfortune, I can agree.
Wewe ni MPUUZI. Period!Kila siku watu wanakufa ,unaona ni wimbi la watu weng kufa sababu ni maarufu ,hiv kila anaekufa kila mkoa tukipost kama hao watu mashuhur mnaodai wamekufa na corona kutakalika ,si itaonekana ni vifo vya kutisha nchini ??