The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,318
- 103,545
Pole Mkuu,
Labda chakujiuliza, kwanini Dereva aliyekugonga kakimbia? Au ni kwa vile watu hujichukulia sheria mkononi pale inapotokea ajali hasa inayohusu Gari na Bodaboda au Bajaji?