AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 10,241
- 16,467
- Thread starter
- #21
Niliachaga pia almost 7 years but siku hizi nimeanza upya kunywa but situmii nyingine yoyote zaidi ya hio hapo mezani yaan kwanza sielewi zingine ladha tofauti nikitumia naumwa tumbo you see lakini nikinywa hio sisikii sijui tumbo kujaa sijui nini yaan najifeel good kabisa ndio maana imeanza kunitengenezea addiction unajua ukizoea kitu ikifika kila baada ya muda unataka kutumia hio ni addiction correct or not?Kwakweli huwa nashangaa pia, inaeza kupita hata mwezi au zaidi sijatumia soda au juice za kiwandani