Nimepata addiction

Nimepata addiction

Fanya mazoezi ya viungo. Cheza mpira kama unaweza, fanya gym au tembea hata km 5 kama una muda. Ni ngumu kuanza lakini utazoea
Kutembea napenda sana na ndio Zoezi langu kubwa sio km 5 tu natembea umbali mrefu hata km 10 mpaka 15 kwenda na kurudi ni zoezi tosha kwangu
 
Wakuu,

Sijui natokaje kwenye hii addiction ila alietengeneza hiki kitu hakika ni fundi na amenikamata na sijui ametumia formula gani. Kila nikitumia hua kuna maswaali najiuliza huyu ametumia formula gani?

Haipiti siku namaliza chupa hata 3 mpaka 4.
Addiction.
View attachment 3572328
Kisukari kikikukamata vizuri utaacha tu bila kupenda 😂😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom