ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,688
- 39,478
Pole sana pendelea fresh Juice acha na hizo sukari kipenz
Sawa mkuu ngoja nipunguzeAchana na hizo mambo ndugu, haya kama una-addiction kiasi gani, hiyo chupa nikiiona mwili unasisimuka, tumia kwa kiasi.
Junk drinkWakuu,
Sijui natokaje kwenye hii addiction ila alietengeneza hiki kitu hakika ni fundi na amenikamata na sijui ametumia formula gani. Kila nikitumia hua kuna maswaali najiuliza huyu ametumia formula gani?
Haipiti siku namaliza chupa hata 3 mpaka 4.
Addiction.
View attachment 3572328
YeahJunk drink
Kwa nini umeandika ushauri mzuri ukaja kuufuta?Itakuwa vizuri
Tangu uachwe na Kisavela unaandika mambo ya maana kinoma. Very tricky!Mzee soda unywaji wake ni tofauti na maji.
Soda unakunywa kama pongezi au kujifurahisha ( Reward ) kama sehemu ya ulivyozoeza kuustarehesha mwili.
Bado naangalia huo unywaji huku unakata mitaa ...sijauelewa.
Nimeona nayemshauri ana ushauri wake kichwani tayariKwa nini umeandika ushauri mzuri ukaja kuufuta?
Yeah ndiyo hivyo pambana uweze kuachaNiliachaga pia almost 7 years but siku hizi nimeanza upya kunywa but situmii nyingine yoyote zaidi ya hio hapo mezani yaan kwanza sielewi zingine ladha tofauti nikitumia naumwa tumbo you see lakini nikinywa hio sisikii sijui tumbo kujaa sijui nini yaan najifeel good kabisa ndio maana imeanza kunitengenezea addiction unajua ukizoea kitu ikifika kila baada ya muda unataka kutumia hio ni addiction correct or not?
😅Afiya na Afia ila pa kufia utachagua wewe.Tangu uachwe na Kisavela unaandika mambo ya maana kinoma. Very tricky!
Sawa basi nimekuelewa mkuu hahaha umefanya hadi nimechekaMkuu ni vile una tu show simu yako iko na camera kali by the way hii ni iphone.
Chingili ndio kinini hicho au supu ya mamba?😅Afiya na Afia ila pa kufia utachagua wewe.
Nataka kuanza kunywa Chingili.
Asante muuguzi wa afiyaPole bwana afiya
Leo nimekunywa moja tu ndio naanza kupunguza kidogo kidogopole mkuu, jitahd upunguze. ili upunguze hatari ya afya yako siku zijazo
Hivi bei ya Figo ni Tsh ngapi Sasa hivi?Wakuu,
Sijui natokaje kwenye hii addiction ila alietengeneza hiki kitu hakika ni fundi na amenikamata na sijui ametumia formula gani. Kila nikitumia hua kuna maswaali najiuliza huyu ametumia formula gani?
Haipiti siku namaliza chupa hata 3 mpaka 4.
Addiction.
View attachment 3572328
Figo inauzwa wapi?Hivi bei ya Figo ni Tsh ngapi Sasa hivi?
Black marketFigo inauzwa wapi?