Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,024
- 2,048
kitufe cha cash out hakibonyezeki 😅Both team to score sio 😃
kitufe cha cash out hakibonyezeki 😅Both team to score sio 😃
Jaribu tena baadaye.kitufe cha cash out hakibonyezeki 😅
Kazi kabisa kwa sisi wawekezaji😃kitufe cha cash out hakibonyezeki 😅
Sahihi📌Kuokoka siyo kuacha pombe tu! Kuokoka ni kupata msamaha wa dhambi ZOTE baada ya kuzitubu na kuziacha,kama vile Uzinzi,Uasherati,Wizi,Uongo,Rushwa,Ulevi,nk
Hata hivyo kuacha Pombe ni hatua njema.
Ni nani anapanga hii dhambi hii sio?Kuokoka siyo kuacha pombe tu! Kuokoka ni kupata msamaha wa dhambi ZOTE baada ya kuzitubu na kuziacha,kama vile Uzinzi,Uasherati,Wizi,Uongo,Rushwa,Ulevi,nk
Hata hivyo kuacha Pombe ni hatua njema.
😎😎😎😎Ni nnje na biashara zako nafikiri 🤔
Afadhali huyo sasa, huyu amelala majirani wamemwona anayumba yumba kwenye korido akiwa kalewaWakati wa mfungo uliopita kuna jamaa yangu Alifia usingizini na alikuwa hajawahi kunywa pombe maisha yake yote
😄😄😄Kweli, alikuwa anatafuta furaha ila ikagoma moja kwa mojaWe Duniani hakuna mwema watu wana siri za ajabu wewe 😂 😂 😂 😂 😂
Ana kucha nzuriKaribu beer mkuu 🥂View attachment 3604489
Asante!Ana kucha nzuri
vyote kwa pamoja na sio A frica tu mkubwa!Unywaji wa pombe sikuizi umekua kama tamaduni Bar zinafurika vijana kila siku ,Mbaya zaidi vijana wanakunywa pombe bila kipimo watu wanakata maji mbaya , nawaza tu je ni watu hawana furaha na maisha ni stress au ndo furaha imezidi hiki kizazi?
Kumbe ni kucha zako. Ndio maana vijana wanakugombania humu ndani. Lucky you.Asante!
vyote kwa pamoja na sio A frica tu mkubwa!
Vijana gani hao?Kumbe ni kucha zako. Ndio maana vijana wanakugombania humu ndani. Lucky you.
Kama huyu kijana wangu Baba mtakatifu91Vijana gani hao?
Hanijui hataKama huyu kijana wangu Baba mtakatifu91
Assumptions plus imaginationsHanijui hata
Naona bomba bado linatoa maji tumejisahau kubana kokiHanijui hata
Au sio!Naona bomba bado linatoa maji tumejisahau kubana koki