Nimeokoka nimeacha pombe

Nimeokoka nimeacha pombe

Kuna mwingine kafariki Jana, amekutwa kafa kalala kitandani...mashuhuda wanasema usiku alikunywa pombe Kali sana akalala...haloo hajaamka. Tena ni mfanyakazi mkubwa tu kwenye ofisi ya mkurugenzi...ukiona tangazo Fulani la mkurugenzi kuuarifu uma kuwa mfanyakazi wake daraja la pili kitengo Fulani siku ya Jana ujue ndio huyo. Endeleeni kupiga vyombo
Alikuwa na maradhi yake huyo msimsingizie my wetu whisky.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom