😃😃Baridi kwa wazee sio nzuri mkuu bora umefanya hivyoNImekoka kuni kabisa sitaki mchezo! 😅
Asante kwa kunikumbusha mjukuu!😅😃😃Baridi kwa wazee sio nzuri mkuu bora umefanya hivyo
Me kilembwekeza kabisa huko😃Asante kwa kunikumbusha mjukuu!😅
Sio kining'ina?😅Me kilembwekeza kabisa huko😃
Dah.....ni kawaida kwa mwanamke hasa kama ukiona unaanza kukuaNimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.
View attachment 3604486
Kheeh😃mpya hiiSio kining'ina?😅
hukusoma kabisa kiswaz sio? 😅Kheeh😃mpya
We Duniani hakuna mwema watu wana siri za ajabu wewe 😂 😂 😂 😂 😂Sawa, sote tutakufa ila ni kifo Cha aina Gani?? Unaachia aibu kwa familia, rafiki, ndugu, majirani na wapenda matendo mema. Watu waone aibu hata kukufanyia ibada..na inawezekana alikuwa akisali ama akiswali vizuri ila mwisho wake unakatishwa kwa pombe ni aibu!
Niliishia kwenye kilembwekeza 😃hukusoma kabisa kiswaz sio? 😅
wee ile inaendelea! 😆Niliishia kwenye kilembwekeza 😃
Acha kujitesa utaugua kisukari hakuna mahali wameandika kula bia ni dhambi.Nimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.
View attachment 3604486
Hongera sana, gonga 2 za kujipongezaNimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.
View attachment 3604486
Nipe somo mkuuwee ile inaendelea! 😆
Hongera ila ni kama umetoa mzigo kichwani ukauweka begani manake hizo soda hatimaye zitakuharibia figo zako. Ingekuwa bora zaidi ukaacha pia soda halafu tena jikite kunywa juice uliyotengeneza mwenyewe (Home made juice). Hizo juice za viwandani nazo pia niNimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.
View attachment 3604486

Nipe somo mkuu
Imekaa hii mkuu
Nimejifunza kitu hapo.
Wakati wa mfungo uliopita kuna jamaa yangu Alifia usingizini na alikuwa hajawahi kunywa pombe maisha yake yoteKuna mwingine kafariki Jana, amekutwa kafa kalala kitandani...mashuhuda wanasema usiku alikunywa pombe Kali sana akalala...haloo hajaamka. Tena ni mfanyakazi mkubwa tu kwenye ofisi ya mkurugenzi...ukiona tangazo Fulani la mkurugenzi kuuarifu uma kuwa mfanyakazi wake daraja la pili kitengo Fulani siku ya Jana ujue ndio huyo. Endeleeni kupiga vyombo
Yeah. Vifo vinasababishwa na mambo mengi sio pombe tuu.Wakati wa mfungo uliopita kuna jamaa yangu Alifia usingizini na alikuwa hajawahi kunywa pombe maisha yake yote