min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,781
- 165,395
Kweli , na pombe ni gharama lazima upambane ili utii kiu yakoMiaka nakunywa sana. Bia ndio ilikuwa inanipa hasira ha kutafuta hela. Kuna kiakil flan unapata ukiwa high. Lakin ile ya aste aste.
Deal nying sana nasuka nikiwa na bia kichwan na nafanikiwa.
malengo unaweza timiza hata ukiwa mnywaji.
Ww unaweza usinywe pombe. Ukapata na hela na usiweze hata kununua kiwanja had unafika 50 yrs.