Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,674
- 83,475
Facta, non verba 😆Hadi maxims zimo 😁🔥
Facta, non verba 😆Hadi maxims zimo 😁🔥
Non multa, sed multum 😁👋Facta, non verba 😆
Nani alikwambia pombe ni dhambi? Mbona mimi huwa nastua kwanza kabla sijaenda misa na ninafanya hivi ili nikapokee mkate uchanganyikane na pombe vizuriNimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.
View attachment 3604486
.... KibwetereHakuna cha aibu kwenye kufa, kila kitu tumia kwa kiasi hata dini usipokua na kiasi inaweza kuua
Bora hata umenisanua nimejita baba ushauri kumbe ni siku ya wajinga dunianiHuyu kaweka uzi wake jukwaa la jokes 🤣
Sana tena sana, unaanchaje pombe?Inasikitisha sana
Miaka 10🙌🙌heshima yako mkuuKitambo sana almost miaka 10 so ni sahihi loh😂
Jamani si ya first year hiyo!😁Miaka 10🙌🙌heshima yako mkuu
Me ni miaka nane sasa ndo maana nimesema heshima yako mkuu😃😃Jamani si ya fist year hivyo!😁
Umeacha au huna hela?Nimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.
View attachment 3604486
Naona Mungu ni shemeji yako!Nani alikwambia pombe ni dhambi? Mbona mimi huwa nastua kwanza kabla sijaenda misa na ninafanya hivi ili nikapokee mkate uchanganyikane na pombe vizuri
Shukran!Me ni miaka nane sasa ndo maana nimesema heshima yako mkuu😃😃
Mambo ya offer and acceptance sio!Umenikumbusha professor wangu wa the law of contract dah😂
Hahaa ndiooMambo ya offer and acceptance sio!
Tupo kwenye jukwaa la jokesNaona Mungu ni shemeji yako!
Oh sikujua! ila jiepushe sana na mizaha ya maswala ya kiroho!Tupo kwenye jukwaa la jokes
Ahsante kipenzi kwa kunikumbusha hakika umekuwa mwanga unaonimlikia kila hatua ninayopigaOh sikujua! ila jiepushe sana na mizaha ya maswala ya kiroho!
Jitaid mida kama hii uwe umevaa sweta kama mbili mkuu kuna baridi kali sana 😃😃Shukran!
Tushajizeekea mkuu😅
NImekoka kuni kabisa sitaki mchezo! 😅Jitaid mida kama hii uwe umevaa sweta kama mbili mkuu kuna baridi kali sana 😃😃