Nimeokoka nimeacha pombe

Nimeokoka nimeacha pombe

Kuna mwingine kafariki Jana, amekutwa kafa kalala kitandani...mashuhuda wanasema usiku alikunywa pombe Kali sana akalala...haloo hajaamka. Tena ni mfanyakazi mkubwa tu kwenye ofisi ya mkurugenzi...ukiona tangazo Fulani la mkurugenzi kuuarifu uma kuwa mfanyakazi wake daraja la pili kitengo Fulani siku ya Jana ujue ndio huyo. Endeleeni kupiga vyombo
Watu wanakufa kila siku, mtu kufa na pombe sio sababu ya kuacha pombe
 
Watu wanakufa kila siku, mtu kufa na pombe sio sababu ya kuacha pombe
Sawa, sote tutakufa ila ni kifo Cha aina Gani?? Unaachia aibu kwa familia, rafiki, ndugu, majirani na wapenda matendo mema. Watu waone aibu hata kukufanyia ibada..na inawezekana alikuwa akisali ama akiswali vizuri ila mwisho wake unakatishwa kwa pombe ni aibu!
 
Sio kila mtu ni wa dini ,kifo ni kifo hakuna kifo cha aibu ukifa umekufa tu , pombe ipo tangu kale utakufa yatapita maelfu ya miaka utaiacha inadunda
 
Heri kwako umetambua mapema,kupitia pombe wengi sana wameshindwa kufikia malengo wengine wameishia njiani tatizo ukiwa mnywaji hilo kichwani wala haliji.

Miaka nakunywa sana. Bia ndio ilikuwa inanipa hasira ya kutafuta hela. Kuna kiakili flan unapata ukiwa high. Lakin ile ya aste aste.

Deal nying sana nasuka nikiwa na bia kichwan na nafanikiwa.

malengo unaweza timiza hata ukiwa mnywaji.
Ww unaweza usinywe pombe. Ukapata na hela na usiweze hata kununua kiwanja had unafika 50 yrs.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom