Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

Nimeoa mke mlokole ila sikushauri uoe mlokole

Pole sana usingehama kwanza ungeongea nae umwambie hupendi hiyo tabia na mchungaji pia ungemfuata umwambie kama una kwazika na hiyo tabia

Sijaona sehemu uliyoandika kama umewahi kuongea na mkeo matatizo hayatatuliwi kwa kukimbia

Kukimbia ni hatua ya mwisho kabisa baada ya juhudi nyinginezo kugonga mwamba
 
Wakuu habari , mi nimeoa mke mlokole Ila changamoto nazopitia no balaa tupu, mke anshinda church kuaanzia asubuhi Hadi jioni

*Anarudi hapiki anasema alikuwa na kazi kwa mchungaji

*Ukiomba game anasema amechoka

Yapo mengi kweli mpaka niamua nihame nyumba na kumuacha yeye aendelee na Mambo yake
1. Usimfiche mkeo kuwa una mtoto nje (specifically uliyempata kabla ya kumuoa)
2. Usisite kumwambia mchepuko kuwa una mke (in case akiuliza yeye)
3. Mkewako hatakiwi kumjua in person mchepuko.
Hizi mambo tatu huwa zinaharibu sana maisha ya ndoa.

Umakini unahitajika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom