Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,830
- 2,324
Anazitoa ila wadau wanamsaidia akisomeka kwa 10 % eti,nchi ngumu sana hiiNina swali jamani...kuna mradi rafiki yangu alikua anafanya kazi, ulisimama 2020...miaka 6 imepita, pesa zake anaweza kuzipata NSSF au ndio muda umeenda?