KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hela zetu wanajengea nyumba wanauza,wanakopesha wanapata faida.ila sisi hatunufaiki na Hela zetu.na Bado ukifatilia wananunaa.ukienda kujaza fomu hawakupi msaada wanakwambia nenda stationary.kule stationary unapigwa 10,000.kitu ambacho walitakiwa wakifanye pale kwenye ofisi zao.waweke mtu Kwa ajili ya kuwa jazia watu fomu.
Vitu nyengine vinatia hasira, ndio maana daktari alimpiga polisi
Mtu hela yako na kuipata mpk usumbuke. Watu wadhulumishi, ndio maana nchi haina hata barka. Kila pahali usununu
 
Terms and conditions ulizisoma?
Lengo la mifuko hii unalijua?
Lengo si kutunza pesa ili uzile mda wowote, lengo ni kukupa ahueni kwenye kipindi kigumu.
 
Unavyouliza terms and conditions kwani mtu ana options za kuzikataa? Ana options za kugoma kujiunga nssf?

Unakaaje na 10M ya mtu kuanzia ana miaka 26 mpaka anatimiza 60 ili umpe 10M ileile tena kwa mafungu?

Why are you so dense?
 
We jamaa kuna siku nilikuuliza kuwa uliwahi kusema kuwa umepata kazi serikalini ndio maana mafao yako yamechelewa ukabisha kuwa huna kazi serikalini.sasa leo tena unakiri mwenyewe..
Tatizo lako ni muongo muongo sana hata mtu akisema akusaidie inakua ngumu..mimi nilikua na issue kama yako lakini nimepita njia za panya juzi ijumaa mpunga umeingia..
Wote?
 
Hv itakuwaje kwenye malipo baada ya kustaafu kama mtu alifanya sekta binafsi aka akalipa makato NSSF kwa miaka pungufu ya pension labda mika 10 halafu akafanya kazi serikalini kwa miaka say 8 makato yanapelekwa PSSSF. Mwisho wa ajira after 60 years, mfuko upi utalipa pension kama NSSF na PSSSF haisomani? Mstaafu anaweza pata tabu sana kufuatilia case kama hii.
 
huyo ni chakula ndiyo maana kuweka picha ya mguu wa mwanamke waka ni me. tupo kwenye mjadala serious yeye analeta ushoga hapa
 
Hv itakuwaje kwenye malipo baada ya kustaafu kama mtu alifanya sekta binafsi aka akalipa makato NSSF kwa miaka pungufu ya pension labda mika 10 halafu akafanya kazi serikalini kwa miaka say 8 makato yanapelekwa PSSSF. Mwisho wa ajira after 60 years, mfuko upi utalipa pension kama NSSF na PSSSF haisomani? Mstaafu anaweza pata tabu sana kufuatilia case kama hii.
sheria ya hifadhi ya jamii inasema mtumishi akitoka NSSF kwenda PSSSF, michango yake yote inamfuta huko PSSSF. ajabu ni kwamba niliwaambia NSSF wahamishie michango yangu PSSSF wakasema haiwezekani kwa sababu mifuko haiingiliani
 
Hv itakuwaje kwenye malipo baada ya kustaafu kama mtu alifanya sekta binafsi aka akalipa makato NSSF kwa miaka pungufu ya pension labda mika 10 halafu akafanya kazi serikalini kwa miaka say 8 makato yanapelekwa PSSSF. Mwisho wa ajira after 60 years, mfuko upi utalipa pension kama NSSF na PSSSF haisomani? Mstaafu anaweza pata tabu sana kufuatilia case kama hii.

Ukiwa na haki ya kupata fao lako lolote kwa mjibu wa aheria, kwa kuzingatia uko mfuko upi (PSSSF au NSSF), mfuko unaokulipa kwanza unakupatia barua ya kuwa umekulipa fao lako husika. Baada ya hapo, unatumia barua hiyo kwenda kwenye mfuko wa pili kufungua madai yako ili mfuko wa pili pia ukulipe pesa yako.
 
Nilipoteza ajira sekta binafsi(kwa kupewa end of contract letter)November mwaka jana. March mwaka huu nikafungua madai ya mafao yangu NSSF.

Wakati bado ombi langu linafanyiwa kazi, nikapata kazi serikalini na nikaungwa PSSSF.

Baada ya kupokea mshahara wa mwezi mmoja serikalini, Nikapigiwa simu na watu wa NSSF nikaambiwa hawataendelea kuchakata ombi la mafao yangu NSSF kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini hivyo nisubiri nifikishe mika 60 ndipo nikafungue madai upya.

Naomba Msaada wa Kisheria
niliwai kuskia ukiwa kwenye mchakato wa kuomba isitokee ukapata kazi apo kati kati ndani ya mwaka mmoja. ivyo ni swala la timing tu.
 
Nilipoteza ajira sekta binafsi(kwa kupewa end of contract letter)November mwaka jana. March mwaka huu nikafungua madai ya mafao yangu NSSF.

Wakati bado ombi langu linafanyiwa kazi, nikapata kazi serikalini na nikaungwa PSSSF.

Baada ya kupokea mshahara wa mwezi mmoja serikalini, Nikapigiwa simu na watu wa NSSF nikaambiwa hawataendelea kuchakata ombi la mafao yangu NSSF kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini hivyo nisubiri nifikishe mika 60 ndipo nikafungue madai upya.

Naomba Msaada wa Kisheria
Ni mafao gani ulikuwa umeomba? Ukijibu hili utasaidika vizuri.
 
Nina swali jamani...kuna mradi rafiki yangu alikua anafanya kazi, ulisimama 2020...miaka 6 imepita, pesa zake anaweza kuzipata NSSF au ndio muda umeenda?
 
We jamaa kuna siku nilikuuliza kuwa uliwahi kusema kuwa umepata kazi serikalini ndio maana mafao yako yamechelewa ukabisha kuwa huna kazi serikalini.sasa leo tena unakiri mwenyewe..
Tatizo lako ni muongo muongo sana hata mtu akisema akusaidie inakua ngumu..mimi nilikua na issue kama yako lakini nimepita njia za panya juzi ijumaa mpunga umeingia..
Oy hebu tusaidiane hapo
 
Back
Top Bottom