Raba kali
Senior Member
- Aug 10, 2024
- 191
- 455
Na ukizeeka unakuja kuambiwa zishatolewaga miaka 24 ilyopitaKweli maana hii ni mifuko miwili tofauti.ukienda nssf asubuhi uwa Wana kama semina.
Hoja Yao wanapenda kushauri watu wasipende kuchukua Hela zao kabla ya kustaafu.
Sasa Mimi huwa najiuliza ina maana hawa nssf hawajui kuwa mfuko wao ni watu wa sekta binafsi? Kazi ambazo muda wowote unaachishwa kazi tofauti na wenzetu wa PSSSF walioajiriwa ajira za kudumu?
Nimefukuzwa kazi, nina miaka 36 yaani nisitoe Hela mpaka nije kuzeeka?!
sasa hapa kati naishi vp wakati kazi zenyewe waajiri wengi hawatoi nssf?.