Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,850
- 25,034
- Thread starter
- #101
kabisaMifuko ya Jamiii ni usenge na utapeli wa kipumbavu sana
kabisaMifuko ya Jamiii ni usenge na utapeli wa kipumbavu sana
taarifa za uanachama wa NSSF na PSSSF zinasomanawamejuaje kama umeajiliwa serikalini
sasa huo ni utapeli wa kutumia kompyutaHata ingetokea umeajiriwa sekta binafsi, bado wangekubania usipate fao lako la kukosa ajira...
Ukiomba hilo fao inakupasa usipate ajira nyingine yeyote nadhani ndani ya miezi 6 au zaidi...
Thanks sanaIli alipwe pesa zake inabidi apeleke barua ya kufukuzwa kazi na akishapeleka Nssf watampa form ataipeleka kwa muajili wake ili ijazwe na kisha anatakiwa kuirudisha Nssf, Nssf wakishaipoke na wakajilizisha watamwambia asuburi wiki mbili kungojea malipo yake anayodai.
Si umeona ulivyokua mjinga sasa? First stance ni kubisha siyo kuelewa mtu alichoandika. Typical behavior ya sisi weusi tukiwa upande wa faidaSawa tumia akili yako mtu mweupe ka claim popote Kwa namna iyo kama utapata.
Upo sahihiSi umeona ulivyokua mjinga sasa? First stance ni kubisha siyo kuelewa mtu alichoandika. Typical behavior ya sisi weusi tukiwa upande wa faida
Ukiwaga serious kumbe unatemaga cheche kijana wa gunnersSi umeona ulivyokua mjinga sasa? First stance ni kubisha siyo kuelewa mtu alichoandika. Typical behavior ya sisi weusi tukiwa upande wa faida