KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Technically, wapo sahihi.

Ila kwa uhalisia wa maisha hapana.

4M waliyobaki nayo kuanzia 2021 mpaka 2061 haitakua na thamani ile ile
Hela zetu wanajengea nyumba wanauza,wanakopesha wanapata faida.ila sisi hatunufaiki na Hela zetu.na Bado ukifatilia wananunaa.ukienda kujaza fomu hawakupi msaada wanakwambia nenda stationary.kule stationary unapigwa 10,000.kitu ambacho walitakiwa wakifanye pale kwenye ofisi zao.waweke mtu Kwa ajili ya kuwa jazia watu fomu.
 
Baada ya kupokea mshahara wa mwezi mmoja serikalini, Nikapigiwa simu na watu wa NSSF nikaambiwa hawataendelea kuchakata ombi la mafao yangu NSSF kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini hivyo nisubiri nifikishe mika 60 ndipo nikafungue madai upya.

Naomba Msaada wa Kisheria
Sheria ipi unataka wakati ndio Sheria ipo hivyo au umeona wao mafala tena 60 wamekuhurumia sana wangekwambia miaka 100 si ungekata roho
 
Hakuna msaada wa kisheria kwenye hii ishu.

Nina ishu kama yako. Niliambiwa labda kile kipindi cha kusubiri kuripoti ndiyo ningekitumia kufuatilia mafao.

Hii ishu pia walinijibu hawawezi kuunganisha mafao ya nssf na kuyaleta pssf ni lazima nisubiri mpaka nifikishe miaka 60.

Hii ilisababisha niseme mgombea urais atayeahidi watu tutachukua mafao yetu kwa kupindua hizi sera za hovyo lazima alambe kura yangu.

Hizo ni dhulma za waziwazi kabisa kuna hiyo na ya kuacha kazi mwenyewe hawakupi .ni taratibu zilizowekwa kudhulumu watu haki zao ,maisha yenyewe yakufika miaka 60 yakowapi saahizi.mshkaji ailpaswa kupambana kuichukua kabla hajaanza kazi mpya ata kuhonga angehonga tu.yani hivi vimilioni 6 7 ndo usubirie miaka 60 kweli
 
Nilipoteza ajira sekta binafsi(kwa kupewa end of contract letter)November mwaka jana. March mwaka huu nikafungua madai ya mafao yangu NSSF.

Wakati bado ombi langu linafanyiwa kazi, nikapata kazi serikalini na nikaungwa PSSSF.

Baada ya kupokea mshahara wa mwezi mmoja serikalini, Nikapigiwa simu na watu wa NSSF nikaambiwa hawataendelea kuchakata ombi la mafao yangu NSSF kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini hivyo nisubiri nifikishe mika 60 ndipo nikafungue madai upya.

Naomba Msaada wa Kisheria
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 1
Hela zetu wanajengea nyumba wanauza,wanakopesha wanapata faida.ila sisi hatunufaiki na Hela zetu.na Bado ukifatilia wananunaa.ukienda kujaza fomu hawakupi msaada wanakwambia nenda stationary.kule stationary unapigwa 10,000.kitu ambacho walitakiwa wakifanye pale kwenye ofisi zao.waweke mtu Kwa ajili ya kuwa jazia watu fomu.
inauma sana
 
Ni kweli uko sahihi ila wa kupewa lawama ni kina Baba Levo kule bungeni...

Maana wao ndio watunga sheria hizi, hawa Nssf wanafuata sheria zilizopo tu...
Mimi ninaamini nssf walifanya lobbying ili hii sheria ipite.

Wakati wanaanza hizi lobbying bunge lote lilikua na ccm ndani. Nssf ikiwa na majengo hayana wapangaji.

Ni dhahiri ilikua ni kuinusuru nssf.
 
Hakuna msaada wa kisheria kwenye hii ishu.

Nina ishu kama yako. Niliambiwa labda kile kipindi cha kusubiri kuripoti ndiyo ningekitumia kufuatilia mafao.

Hii ishu pia walinijibu hawawezi kuunganisha mafao ya nssf na kuyaleta pssf ni lazima nisubiri mpaka nifikishe miaka 60.

Hii ilisababisha niseme mgombea urais atayeahidi watu tutachukua mafao yetu kwa kupindua hizi sera za hovyo lazima alambe kura yangu.
Ni na mm hii inshu imenikumbuka Mwaka huu nilikuwa nimebakiza siku 25 tuu kulipwa Naambiwa nina kazi serikalini.Hapa nawaza naipataje hii ela
 
Hizo ni dhulma za waziwazi kabisa kuna hiyo na ya kuacha kazi mwenyewe hawakupi .ni taratibu zilizowekwa kudhulumu watu haki zao ,maisha yenyewe yakufika miaka 60 yakowapi saahizi.mshkaji ailpaswa kupambana kuichukua kabla hajaanza kazi mpya ata kuhonga angehonga tu.yani hivi vimilioni 6 7 ndo usubirie miaka 60 kweli
aisee
 
Kuna umuhimu wa sheria zetu kuwezesha "convergence " katika uchumi. Kweli, lengo la mafao ni kusaidia kujikimu wakati mhusika akifika umri ambao hawezi kufanya kazi na hivyo kumpunguzia yeye matatizo na serikali kwa ujumla. Hata hivyo, zile fedha zinafanyiwa uwekezaji, tena uwekezaji mkubwa tu.

Nadhani ingekuwa fair kama hii mifuko ingetambua wanachama wake kama shareholders (kwa kuzingatia uchangiaji wao) na hivyo pale inapopata faida iwe inatoa gawio.

Lakini pia itumike kama chanzo cha mtaji kwa mchangiaji, kwa maana ingetoa room ya kuchukua mafao yako kama itadhihirika kuwa unaenda kuwekeza kiasi cha kukupa ajira na kuongeza ajira kwa wengine. Hii ni kwasababu lengo ni kujikimu na huyo mtu anaenda kufanya uwekezaji ambao utamuwezesha kujikimu.
 
Mimi ninaamini nssf walifanya lobbying ili hii sheria ipite.

Wakati wanaanza hizi lobbying bunge lote lilikua na ccm ndani. Nssf ikiwa na majengo hayana wapangaji.

Ni dhahiri ilikua ni kuinusuru nssf.
mimi pia naamini hivyo.
 
exactly 💯
 
We jamaa kuna siku nilikuuliza kuwa uliwahi kusema kuwa umepata kazi serikalini ndio maana mafao yako yamechelewa ukabisha kuwa huna kazi serikalini.sasa leo tena unakiri mwenyewe..
Tatizo lako ni muongo muongo sana hata mtu akisema akusaidie inakua ngumu..mimi nilikua na issue kama yako lakini nimepita njia za panya juzi ijumaa mpunga umeingia..
Mkuu saidia hizi njia za panya na mm nipate mpunga wangu Sisi ni nduugu wa mama tofauti.Nitaomba ni ku DM
 
Mimi ninaamini nssf walifanya lobbying ili hii sheria ipite.

Wakati wanaanza hizi lobbying bunge lote lilikua na ccm ndani. Nssf ikiwa na majengo hayana wapangaji.

Ni dhahiri ilikua ni kuinusuru nssf.
Kwa nchi kama Tanzania hili swala linawezekana.
 
Sasa ulipwe nini Tena ungali benefit yaitwa unemployed benefit nawe ushapata kazi kabla Mchakato hujaisha..

Hongera Kwa kupata kazi... piga kazi acha lawama
Watu weusi tuna tabia ya kutokua logical.

Tulichomezeshwa tunakishika hicho hicho hatutumii akili zaidi.

Kwahiyo kwakua kazini kwenu mmeambiwa majibu ni haya tu wewe huwezi kufikiria legitimacy ya hayo majibu?
 
Nilipoteza ajira sekta binafsi(kwa kupewa end of contract letter)November mwaka jana. March mwaka huu nikafungua madai ya mafao yangu NSSF.

Wakati bado ombi langu linafanyiwa kazi, nikapata kazi serikalini na nikaungwa PSSSF.

Baada ya kupokea mshahara wa mwezi mmoja serikalini, Nikapigiwa simu na watu wa NSSF nikaambiwa hawataendelea kuchakata ombi la mafao yangu NSSF kwa sababu nimeshaajiriwa serikalini hivyo nisubiri nifikishe mika 60 ndipo nikafungue madai upya.

Naomba Msaada wa Kisheria
Msaada wa kisheria kui -challenge sheria? Ulitakiwa kupata mafao yako kabla hujapata kazi nyingine, ukishapata kazi michango inaendelea kukusanywa, Pole.
 
Hakuna msaada wa kisheria kwenye hii ishu.

Nina ishu kama yako. Niliambiwa labda kile kipindi cha kusubiri kuripoti ndiyo ningekitumia kufuatilia mafao.

Hii ishu pia walinijibu hawawezi kuunganisha mafao ya nssf na kuyaleta pssf ni lazima nisubiri mpaka nifikishe miaka 60.

Hii ilisababisha niseme mgombea urais atayeahidi watu tutachukua mafao yetu kwa kupindua hizi sera za hovyo lazima alambe kura yangu.
Pole sana.
Bhati mbaya hatuna hiyo nafasi ya kupiga kura na kuchagua Mgombea, Maana kura zetu hazina maana yoyote.
 
Ukiwa unajiandikisha NSSF haya mambo wala huambiwi, mi pia nadai pesa huko niliambiwa nisubiri miaka miwili, miezi 6 ya kulipwa 33% miezi 18 ya kuangaliwa kama nitapata kazi. Dah na hapa nina kazi tayari sijui kama nitalipwa.
 
Back
Top Bottom