Nimenenepa isivyo kawaida

Nimenenepa isivyo kawaida

uliposema unajisaidia karibu kilo moja apo ndio nikagundua kwamba unazingatia sana misosi mingi
 
Wanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi.

Mimi kiasili nina mwili wa wastani tu, mwaka jana kati kati nikaanza kunenepa. Nilichukulia ni hali ya kawaida. Ila nilizidi kunenepa na kg kuongezeka.

Hivi hapa nilipo nina kilo 95 kasoro. Ngozi ya paji la uso imeshuka chini. Nikiwa nasali wakati wa kula chakula huku nimenyosha mikono, ngozi za vidole zinaning'inia chini na kuchezacheza.

Nikivua nguo tu mwili unafutuka futuka mpaka nahisi aibu mno kwa mpenzi wangu. Chooni kwa kupima tu haraka haraka najisaidia kinyesi kilo kasoro kwa mkupuo. Kama nikiwa kijijini basi natumia maji ndoo kubwa iliyojaa kukamilisha shughuli nzima.

Naumia mno ndugu zangu. Shingoni nyuma yakichwa ngozi zimejjikunja kunja hali inayonilazimu kuvaa kofia walau niifiche hali hiyo.

Nikiwa napeleka moto inanilazimu tumbo langu lote nilikusanye na kulimwaga juu ya tumbo la mpenzi wangu. Kama ni dog basi tumbo langu nalimwaga juu ya mgongo wake.

Hali hii mpaka lini?

Nachoka kuandika msaada tafadhalini.
Umepima sukari mwilini, nenda kapime sukari kabla hujachanganikiwa
 
Kama I'd yako tu "litutumbwe" kwa lugha yetu Ni jitu Nene la kutisha lanavuta semi na meno
 
Nikiwa napeleka moto inanilazimu tumbo langu lote nilikusanye na kulimwaga juu ya tumbo la mpenzi wangu. Kama ni dog basi tumbo langu nalimwaga juu ya mgongo wake.
Daa pole sana kwa hii changamoto.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah,mzee wa kulimwaga tumbo.
 
Asubuhi ni maziwa fresh lita mbili na bites kama wala, nyama nk mchana ni ugali au wali samaki, vegs nk jioni ni maziwa lita moja unusu na bites kidogo kisha nalala.bila kusahau matunda kwenye kila mlo
Tatizo hili hapa. Acha kunywa maziwa kabisa.
1.Funga siku 1 siku ya pili kula tena kidogo tu. Kula jioni kabisa kama futari vile.
2.Achana na wanga kabisa.
3. Kunywa maji ya kutosha jioni
 
Hii rqtiba ukiifata huchukui hata week moja utakua umekata kilo za kutosha sema inahitaji kujitoa sanaa hapa, fasting sio mchezo mkuu.(total fasting). unless fuata ratiba walizotoa wadau hapo juu nazo sio mbaya sana.
 
Wanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi.

Mimi kiasili nina mwili wa wastani tu, mwaka jana kati kati nikaanza kunenepa. Nilichukulia ni hali ya kawaida. Ila nilizidi kunenepa na kg kuongezeka.

Hivi hapa nilipo nina kilo 95 kasoro. Ngozi ya paji la uso imeshuka chini. Nikiwa nasali wakati wa kula chakula huku nimenyosha mikono, ngozi za vidole zinaning'inia chini na kuchezacheza.

Nikivua nguo tu mwili unafutuka futuka mpaka nahisi aibu mno kwa mpenzi wangu. Chooni kwa kupima tu haraka haraka najisaidia kinyesi kilo kasoro kwa mkupuo. Kama nikiwa kijijini basi natumia maji ndoo kubwa iliyojaa kukamilisha shughuli nzima.

Naumia mno ndugu zangu. Shingoni nyuma yakichwa ngozi zimejikunja kunja hali inayonilazimu kuvaa kofia walau niifiche hali hiyo.

Nikiwa napeleka moto inanilazimu tumbo langu lote nilikusanye na kulimwaga juu ya tumbo la mpenzi wangu. Kama ni dog basi tumbo langu nalimwaga juu ya mgongo wake.

Hali hii mpaka lini?

Nachoka kuandika msaada tafadhalini.
🤣🤣🤣🤣Woiiiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom