Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 3,000
- 8,762
Bujibuji Simba NyamaumeHuu uandishi na ucheshi kama wa member fulani

Tatizo ni jina lako, badilisha jina. Huwezi ukawa litutumbwe halafu usifanane na hilo litutumbwe lenyewe.
View attachment 2599874
Ushauri mzuri uko hapaJemima Mrembo njoo utoe ushauri huku kwa bonge
InawezekanaBujibuji Simba Nyamaume
Mzee mtata sana yule doooooInawezekana
Wanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi.
Mimi kiasili nina mwili wa wastani tu, mwaka jana kati kati nikaanza kunenepa. Nilichukulia ni hali ya kawaida. Ila nilizidi kunenepa na kg kuongezeka.
Hivi hapa nilipo nina kilo 95 kasoro. Ngozi ya paji la uso imeshuka chini. Nikiwa nasali wakati wa kula chakula huku nimenyosha mikono, ngozi za vidole zinaning'inia chini na kuchezacheza.
Nikivua nguo tu mwili unafutuka futuka mpaka nahisi aibu mno kwa mpenzi wangu. Chooni kwa kupima tu haraka haraka najisaidia kinyesi kilo kasoro kwa mkupuo. Kama nikiwa kijijini basi natumia maji ndoo kubwa iliyojaa kukamilisha shughuli nzima.
Naumia mno ndugu zangu. Shingoni nyuma yakichwa ngozi zimejjikunja kunja hali inayonilazimu kuvaa kofia walau niifiche hali hiyo.
Nikiwa napeleka moto inanilazimu tumbo langu lote nilikusanye na kulimwaga juu ya tumbo la mpenzi wangu. Kama ni dog basi tumbo langu nalimwaga juu ya mgongo wake.
Hali hii mpaka lini?
Nachoka kuandika msaada tafadhalini.
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha utani ndugu maji tuh amekuwa chura
Ha ha ha[emoji23]litutumbwe unataka ageuke Katutumbwe?
Aah kudadeki hiyo nguvu ya kutamani unatoa na wewe nimgonjwa[emoji848]Dada nimekutamani plz nipe tunda
Wanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi.
Mimi kiasili nina mwili wa wastani tu, mwaka jana kati kati nikaanza kunenepa. Nilichukulia ni hali ya kawaida. Ila nilizidi kunenepa na kg kuongezeka.
Hivi hapa nilipo nina kilo 95 kasoro. Ngozi ya paji la uso imeshuka chini. Nikiwa nasali wakati wa kula chakula huku nimenyosha mikono, ngozi za vidole zinaning'inia chini na kuchezacheza.
Nikivua nguo tu mwili unafutuka futuka mpaka nahisi aibu mno kwa mpenzi wangu. Chooni kwa kupima tu haraka haraka najisaidia kinyesi kilo kasoro kwa mkupuo. Kama nikiwa kijijini basi natumia maji ndoo kubwa iliyojaa kukamilisha shughuli nzima.
Naumia mno ndugu zangu. Shingoni nyuma yakichwa ngozi zimejjikunja kunja hali inayonilazimu kuvaa kofia walau niifiche hali hiyo.
Nikiwa napeleka moto inanilazimu tumbo langu lote nilikusanye na kulimwaga juu ya tumbo la mpenzi wangu. Kama ni dog basi tumbo langu nalimwaga juu ya mgongo wake.
Hali hii mpaka lini?
Nachoka kuandika msaada tafadhalini.
Pole sana ndugu yangu litutumbwe maana kha!Wanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi.