Paka kumla mtoto wake kuna ubaya gani?Heshima mbele wakuu..
Katika hali ambayo sikuitarajia na kwa kutumia ID nyingine hapa JF nimejikuta namtongoza mtoto wa kaka yangu bila kufahamu.
Ishu ilikuwa hivi, niliweka mada ya mapenzi ambayo ilivuta hisia za watu wengi sana, na kupata wachangiaji zaidi ya 900, ile mada kiukweli ilinionesha jinsi nilivyo mjuvi wa mambo.. Sasa nikaanza kupokea pm kutoka kwa watu mbalimbali, wengine ndo ka ivo wakajileta taratibu. Ikabidi nianze kuchagua, nikakutana na mtoto flani (sitamtaja jina) maarufu sana hapa JF, ana kiingereza kizuri sana na anajiamni mno.. Nikamtupia maneno yetu, kwa siku tatu tu ikaeleweka. Likaja swala la kubadilishana namba za simu, akanipa yeye yake. Ile naandika tu kwenye simu na kuipiga.... laaah haulaaaaaaa... MWANANGU...!!!!!
Niliishiwa pozi, na maneno yote ya kimapenzi niliyochat nae.. asee nilichoka.
Mpaka leo nimempotezea na ile ID siitumii tena.
Hili linawezekana kabisa ili mtu apate tu kufungua uzi mpya na kupata wachangiaji kibao. Nakumbuka kuna uzi hapa wiki chache zilizopita jamaa aliuanzisha hapa MMU na ukachangiwa sana halafu jamaa akadai alikuwa anatania tu ili aone watu watachangia vipi lakini story yake ilikuwa ya kutunga. Watu wakamsemea hovyo kwamba umaarufu hapa JF hauatafutwi kwa namna hiyo, nikamuona anajibaraguza baraguza hapa MMU kwa siku chache baadaye kisha akapotea au ndio kaachana na ile ID na kutumia ID yake nyingine.
vi-ID fake, na restrictions hafifu za kujiunpa jf lazma haya mambo yatokee. Tena una bahati mmekomea kwenye namba. Angekupa namba mpya ambayo huna ungestuka mnakutana guest
I mean, yeyote ambaye huchukulia mambo ya humu kwa maanani need to get their heads examined.
It is never boring in here...
Heshima mbele wakuu..