Nimemtongoza mwanangu hapa JF bila kujua

Nimemtongoza mwanangu hapa JF bila kujua

Aiseee Leo sijafanya kazi kabisa dah ngoja niuze tu hii sim khaa!!
 
Mwenye kiingereza kizuri? Nimeshamjuaaa....
 
Kinachotisha ni huyo 'mpwa' alivyo mwepesi kutoa namba za simu kwa strangers.

Yaani ka thread tu, unaweza pata wachumba humu ee?!

Amazing!

kuna watu wepesi kama mabua, usinambie hujapata zali la kupewa namba!!!
 
Una zari hukumvua nguo, mana vijana hawachelewi kudai picha ya naked
 
Namba imeharibu,utakutana na mwingine ana namba special for vimeo family hawaijui hiyo mtakutania guest kila mmoja atafute kona ya kuingilia!!!
 
- Kwa maoni yangu haya matatu ndio solution, kama kweli unaielewa vizuri sana reality ya mazingira ya siasa yetu ya bongo sasa hivi, uwezekano wa kubadilishwa katiba ni very slim na bila katiba kubadilika mabadiliko ya jumla ni ndoto ya muda mrefu sana, bado tunasumbuliwa na ukabila, udini, undugu, kujuana, ndio maana ukimtoa Lowassa u-PM, bado atapokewa kishujaa jimboni kwake,

- Juzi nilikuwa naongea na kiongozi mmoja wa juu kutoka jimbo la Chenge, yaani mpaka unatamani kulia machozi ambavyo haelewi what is wrong with Chenge kwamba anaandamwa sana bila sababu! Sasa hebu mwambie Shukuru Kawambwa na Said Mwema kwamba Muungwana hafai, sijui itakuwaje, Tanzania tuna mengi sana ya ku-overcome kabla ya kufikia ufisadi, maana ni lazima uvuke haya ya udini, ukabila na kujuana ndio uweze kutokomeza ufisadi na mafisadi,

- Siku hizi bongo imezuka EPA mpya, nayo ni safari za nje zisizokwisha kwa viongozi na maofisa wa serikali, wakiongozwa na Muungwana mwenyewe, I mean this EPA is worse kuliko hata EPA yenyewe, leave alone ufisadi ndugu zangu tuna safari ndefu sana, dawa kwa maoni yangu ni kama principle ya kina Bush's Family, kutafuta hela kwanza and then kuingia siasa ukiwa huna njaa na kuwabadilikia humo humo ndani! Kkubali ukweli sio kushindwa ila ni kujipa nafasi ya kujipanga upya ili ushinde next time, kumbuka it is not how you fall, ila umeangukia wapi!

Otherwise, Mkulu MMJ you nailed it!

Respect.

FMES!

:beer::beer::beer:🙂🙂🙂🙂
 
Heshima mbele wakuu..

Katika hali ambayo sikuitarajia na kwa kutumia ID nyingine hapa JF nimejikuta namtongoza mtoto wa kaka yangu bila kufahamu.

Ishu ilikuwa hivi, niliweka mada ya mapenzi ambayo ilivuta hisia za watu wengi sana, na kupata wachangiaji zaidi ya 900, ile mada kiukweli ilinionesha jinsi nilivyo mjuvi wa mambo.. Sasa nikaanza kupokea pm kutoka kwa watu mbalimbali, wengine ndo ka ivo wakajileta taratibu. Ikabidi nianze kuchagua, nikakutana na mtoto flani (sitamtaja jina) maarufu sana hapa JF, ana kiingereza kizuri sana na anajiamni mno.. Nikamtupia maneno yetu, kwa siku tatu tu ikaeleweka. Likaja swala la kubadilishana namba za simu, akanipa yeye yake. Ile naandika tu kwenye simu na kuipiga.... laaah haulaaaaaaa... MWANANGU...!!!!!

Niliishiwa pozi, na maneno yote ya kimapenzi niliyochat nae.. asee nilichoka.

Mpaka leo nimempotezea na ile ID siitumii tena.

kama ni maji ulishayavulia nguo.. ungeendelea kuoga tu mzazi.
 
Back
Top Bottom